Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
ndugu nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 5 maisha yalikuwa mazuri sana. Tatizo limeanza mwaka mwanzoni pale nilipopata ugonjwa usio eleweka. Ghafla hali ilibadilika maumivu yakianzia kwenye unyao mpaka kiunoni misuli kuvuta ikiambatana na maumivu makali na UUME KUANZA KUINGIA NDANI YAANI KUWA MFUPI NA MGUMU NA MAUMIVU MAKALI YA MGONGO. NIMEPIMA MAGONJWA YOTE YA ZINAA SINA. X - RAY PAMOJA ULTRA SOUND PIA HAKUNA TATIZO. MITISHAMBA NIMETUMIA HAKUNA MABADILIKO NA NGUVU ZINAENDELEA KUPUNGUA MPAKA MKE WANGU AMETISHIA KUONDOKA KAMA MPAKA MWISHO WA MWAKA TAKUWA BADO SIJAPONA. NAOMBENI MSAADA WENU WA MAWAZO NA TIBA
Kumbe sa ingine una busara wewe.pole sana.
Kuhusu mke kuondoka isikupe presha kabisa, angeweza kuondoka hata kwa sababu nyingine.
Ugonjwa huu hukuuomba, kama alikupenda kweli hawezi.
Pole sana mkuu.
Huyo mkeo achana nae. Afanye atakacho. Ange kuwa anakufaa asingetoa ultimatum wakati wa ugonjwa. Angehangaika na wewe kupata suluhisho. Focus Kwenye kutibiwa, tena sio kwa ajili Yake Bali kwa ajili yako mwenyewe.
Kuhusu ugonjw a, jaribu kuonana na urologist usikie atakuambiaje. Ukifika hospitali waambie unataka daktari wa 'wanaume':israel:
jaribu pia na maombi kwa Imani yako. Mungu atakusaidia.
pin mitihani ya maisha tu, huwa inapita
Kumbe sa ingine una busara wewe.