Ndoa yangu hatarini kuvunjika

Ndoa yangu hatarini kuvunjika

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
ndugu nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 5 maisha yalikuwa mazuri sana. Tatizo limeanza mwaka mwanzoni pale nilipopata ugonjwa usio eleweka. Ghafla hali ilibadilika maumivu yakianzia kwenye unyao mpaka kiunoni misuli kuvuta ikiambatana na maumivu makali na UUME KUANZA KUINGIA NDANI YAANI KUWA MFUPI NA MGUMU NA MAUMIVU MAKALI YA MGONGO. NIMEPIMA MAGONJWA YOTE YA ZINAA SINA. X - RAY PAMOJA ULTRA SOUND PIA HAKUNA TATIZO. MITISHAMBA NIMETUMIA HAKUNA MABADILIKO NA NGUVU ZINAENDELEA KUPUNGUA MPAKA MKE WANGU AMETISHIA KUONDOKA KAMA MPAKA MWISHO WA MWAKA TAKUWA BADO SIJAPONA. NAOMBENI MSAADA WENU WA MAWAZO NA TIBA
 
pole!usikate tamaa hebu ipost jf doctor unaweza pata msaada zaid
 
''UUME KUANZA KUINGIA NDANI YAANI KUWA MFUPI NA MGUMU''

mkuu pole sana kwa tatizo hilo... inabidi ''utembee sana''pia mwambie wife atulie na akupe sapoti katika kila hatu na sio kutishia kuondoka..... pole sana mkuu.... kwa maneno mengine hospitali walikwambia hawaoni tatizo??!!....hapo kwenye bold hapo sijawahi kusikia aina ya ugonjwa kama huo ...pole sana kamanda
 
pole sana.

Kuhusu mke kuondoka isikupe presha kabisa, angeweza kuondoka hata kwa sababu nyingine.

Ugonjwa huu hukuuomba, kama alikupenda kweli hawezi.
Kumbe sa ingine una busara wewe.
 
Pole sana mkuu Pizza, Naamini hakuna anayependa kupata ugonjwa wowote na hukuutegemea maishani mwako, km mkeo akiamua kuondoka kwa ajili ya ugonjwa atakuwa si riziki yako, mwache aende.

Naamini utapona kwa msaada wa Mungu tu, nenda ukaombewe na viongozi wako wa dini hata wewe mwenyewe ingia kwenye maombi mlilie Mungu wako,naamini utapona. Nami nitakuweka kwenye maombi yangu!!!
:flypig:
 
pole sana kaka,Mungu ndio jibu la matatizo yaliotushinda wanadamu,zidi kumuomba muumba wako naimani atakusaidia.
 
aisee magonjwa yapo mengi sana duniani...wanawake wachache sana katika 100 ni 1 tu ndio anaweza kuvumilia matatizo yanapotokea..ila cha msingi msihi asiondoke maana hujapenda kuugua na kama akilazimisha kuondoka let her go...wewe angalia matibabu ukipona wapo weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi sana
 
Pole sana mkuu.
Huyo mkeo achana nae. Afanye atakacho. Ange kuwa anakufaa asingetoa ultimatum wakati wa ugonjwa. Angehangaika na wewe kupata suluhisho. Focus Kwenye kutibiwa, tena sio kwa ajili Yake Bali kwa ajili yako mwenyewe.

Kuhusu ugonjw a, jaribu kuonana na urologist usikie atakuambiaje. Ukifika hospitali waambie unataka daktari wa 'wanaume':israel:
jaribu pia na maombi kwa Imani yako. Mungu atakusaidia.
pin mitihani ya maisha tu, huwa inapita
 
Ndugu yangu Pizza kwanza pole sana..
Cha pili hii kitu hebu itupie kule JF Doctor..hope watakusaidia
Kuhusu mkeo ni kawaida sana watu kushindwa kuvumiliana kwenye shida..sishangai sana.
Ushauri wangu kwa sasa hangaikia tiba kwanza..habari ya mke anataka kusepa iweke kiporo kwa muda!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu.
Huyo mkeo achana nae. Afanye atakacho. Ange kuwa anakufaa asingetoa ultimatum wakati wa ugonjwa. Angehangaika na wewe kupata suluhisho. Focus Kwenye kutibiwa, tena sio kwa ajili Yake Bali kwa ajili yako mwenyewe.

Kuhusu ugonjw a, jaribu kuonana na urologist usikie atakuambiaje. Ukifika hospitali waambie unataka daktari wa 'wanaume':israel:
jaribu pia na maombi kwa Imani yako. Mungu atakusaidia.
pin mitihani ya maisha tu, huwa inapita

Hilo ndilo kubwa kwa sasa!!!
 
kamanda pole sana mungu atakujaalia utapona..ila "kama hospital wanasema hawaoni tatizo" nenda kwa "wataalamu" wa tiba asili..waswahili walisema kikulacho mara nyingi huwa kiko nguoni mwako...kama upo dar panda basi nenda kibaha kwa mfipa kuna mtaalamu maeneo hayo naamini atakusaidia sana.
 
mkuu pole sana mungu atakuokoa mbona ulimboka kapona mtegemee sana mungu huyo mwanamke achana nae hana mapenzi ya kweli na amekana kiapo cha ndoa
 
kwanza pole sn,
pili je kuna sehemu ulitembelea ukamkosea mtu fulani?, au kuna watu fulani ulikosana nao kufikia kufanya hivyo?, km hospitali walishindwa basi kutakua na jambo limefanyika ingawa katika maisha kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba kuna jambo umelifanya ambalo umelifanya kwa mtu hivyo anachofanya anakukomoa, jaribu kukumbuka, baada ya kukumbuka ndiyo utajua pa kuanzia ila hapo ni mitishamba tu hakuna jambo lingine ingawa ni wachache sn huwa wanaamiini ila wanadamu ni wanyama wakatili sn kushinda hata simba.
ni hayo tu kwa leo.
 
jamani pole sana my dear! nimekuonea huruma wallah! sikiliza ushauri huko juu, MUNGU NI MWEMA ATAKUPONYA!
 
Be positive and work hard to get the solution for your problems. Achana na huyo dada anayeleta za kuleta...hajui maisha huyo.
 
ndugu nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka 5 maisha yalikuwa mazuri sana. Tatizo limeanza mwaka mwanzoni pale nilipopata ugonjwa usio eleweka. Ghafla hali ilibadilika maumivu yakianzia kwenye unyao mpaka kiunoni misuli kuvuta ikiambatana na maumivu makali na UUME KUANZA KUINGIA NDANI YAANI KUWA MFUPI NA MGUMU NA MAUMIVU MAKALI YA MGONGO. NIMEPIMA MAGONJWA YOTE YA ZINAA SINA. X - RAY PAMOJA ULTRA SOUND PIA HAKUNA TATIZO. MITISHAMBA NIMETUMIA HAKUNA MABADILIKO NA NGUVU ZINAENDELEA KUPUNGUA MPAKA MKE WANGU AMETISHIA KUONDOKA KAMA MPAKA MWISHO WA MWAKA TAKUWA BADO SIJAPONA. NAOMBENI MSAADA WENU WA MAWAZO NA TIBA

Jamani huyo mkeo anakumbuka ile ahadi kua kwa mema na mabaya, shida na raha, utajiri au umaskini NI MPAKA KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA...au alikua hasikilizi wakati anayasema hayo maneno? wanawake wa siku hizi jamaani!!! Pole nenda kanisani muombe Mungu sana kwa kufunga na kuhudhuria maombi utapona...kwa NGUVU YA MUNGU KILA JAMBO LINAWEZEKANA
 
Back
Top Bottom