Ndoa yangu ipo kimya na imetawaliwa na upweke sana


hahaha, sikumbuki kumuu miza, labda nivunje zaidi ukimya na kumuuliza zaidi...
 
Usijali ndoa yako ni changa ni vema ukaitengeneza ikarudi katika hali ya mwanzo!
 

mmh ntajitahidi, lakini inauma pale unapotaka kuleta mazungumzo halafu yeye anayekwepesha...!
 
hilo ni wimbi tu litapita!just communicate more i guess..ongea nae tu-he is your husband.utaongea na nani mwingine tena??nobody knows what is between the two of you better than him..
all the best mwaya!
 
Sikiliza ndug wewe utakuwa ume m bore huyo jamaa, inaonekana wewe unajua kila kitu jamaa akisema hufanyi au unafanya tofauti n ayeye alivyosema sasa ameamua akuache uendelee na mabo yako, unaonekana unafanya kazi nzuri hivi kwahiyo utakuwa ulimuonesha kwamba you can do without him na kwamba wewe ni jembe, ndiyo maana ameamua kukushit lakini jamaa mstaarabu sana hajakutosa na wala hajaenda nje na bado mna do kwahiyo jamaa ni mwamninifu au labda ameamua kubadilika anachoka sana pengine, sasa ushauri, mtoe out mkazungumze huko, mtafute nenda nae lunch muonyeshe uko nae, he will talk, na achana na mambo yako ya uko bize, mwanamke lazima awe mke nyumbani hata kama huko kazini ni CEO, na mwanaume lazima ufanye kila kitu kwa ajili ya mke hata nguo akununulie, utaona mambo yatarudi kama kawa!
 
mama stan wewe huwa unavaa kama Serena William?
 
The Boss jamani asa yeye akitafuta hobby mbadala na mume naye si atatafuta ya kwake na ndio tunazika ndoa hivyo?! Kuna wanandoa ambao walikuwa kwenye situasion kama hii matokeo yake wana miaka miwili ndani ya ndoa hakuna kugusana! Ni ndoa jina

hapo ndipo mnapokosea sana
sometimes we just want space when there is a lot of stress

sio lazima kuwe kuna kitu kimetokea

WE WANT SPACE.....GET IT...
 
hapo ndipo mnapokosea sana
sometimes we just want space when there is a lot of stress

sio lazima kuwe kuna kitu kimetokea

WE WANT SPACE.....GET IT...

............You want space okay.....ndio ui-want pasipo kusema au kuweka wazi The Boss?? Do you know how difficulty it is for your partner whom you claim to love? akae akifigure out whats wrong ilhali ungeweza tu kumweleza akaelewa kuwa unahitaji space???!! Phweeee

Na je akifanya hivyo mkeo/we naye kwa jina la kutaka space bila kusema mtamuelewa? Au nyie wenzetu mumeumbwa na hisia za mbingu nyingine tofauti na za wanawake?
 

ni ngumu kwako kuelewa
wanawake wanafikiri all the time tunapenda kufarijiwa
sometimes WE DONT WANT A PITY LOOK FROM OUR LOVED ONES'
OR A SAD WORD....

WE SIMPLY WANT TIME TO HEAL THINGS
ni Nature sio sisi
 
ni ngumu kwako kuelewa
wanawake wanafikiri all the time tunapenda kufarijiwa
sometimes WE DONT WANT A PITY LOOK FROM OUR LOVED ONES'
OR A SAD WORD....

WE SIMPLY WANT TIME TO HEAL THINGS
ni Nature sio sisi

................................Kweli nakiri ni ngumu kwangu kuelewa. Aksante The Boss kwa kujaribu kunielewesha
 

mmmh, maneno yako ni mazito...labda yana ukweli, ngoja nijikague vizuri...!
 
bt home kwa mkeo ndio mahal pa kuondolea stress sio pa kulundikia stress, ila sometmes hzo space mnazotaka zinawapelkea wenzi wenu kutafuta kile wanachokikosa kwenu nje.
hapo ndipo mnapokosea sana
sometimes we just want space when there is a lot of stress

sio lazima kuwe kuna kitu kimetokea

WE WANT SPACE.....GET IT...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…