Ndoa yeyote isiyo na maelewano haitibiki ni kuvunjwa

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Kwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4 sema watu huwa hawachukui hatua za tahadhari mapema . Amani yako na usalama wako ni muhimu zaidi
 
Kampeni ya Kupinga ndoa naona kama imeshika Kasi kubwa sana kwa miaka ya hivi Sasa. Why this?
 
Ni sahihi kabisa. Ingawa wazungu walioleta dini ya Kikristo wamedai eti talaka hairuhusiwi lakini wazungu hao hao wakaleta na sheria ya ndoa inayoruhusu talaka kupitia mifumo ya kimahakama. Tutumie talaka vizuri ndoa zinaposhindikana. Tuache upuuzi wa kusema eti Mungu amekataza takala. Toa talaka ili uepuke mauaji, majeraha, visasi na mabalaa mengine. Tuwaige waislam kwenye hili. Ndoa imekuwa chungu, IVUNJWE kabla hayajatokea mabalaa.
 
SAHIHI
 
Shida ipo kwenye mapokeo mabaya ya dini
 
Kampeni ya Kupinga ndoa naona kama imeshika Kasi kubwa sana kwa miaka ya hivi Sasa. Why this?
Halaf mimi nikajuaga ni bongo tu aisee hii kampeni kumbe ni worldwide.
Kuna mwamba mmoja mmarekani huko youtube anaitwa John Griffin, aisee yule ukimsikiliza kama hujaoa hutakaa uoe na kama umeo utasema hiv kwann nilioa!? 😂😂😂
Kama ndoa imevunjika ndio kabisaa utaona dahhh hiv kwann haikunjika toka zaman imechelewa hivi?? 😂😂
Mbaya zaid, soma comments sasa uona, aisee ni mamia kama sio maelfu ya watu (wanaume) wanashusha vivid testimonies za majanga ya ndoa, unaweza ukaogopa.
 
Wanaokataa ndoa wote wapumbavu tu
 
Point gan anazisema sana?
 
Back
Top Bottom