Ndoa ni nzuri kwa aliyefumba macho bila kuzingatia qualities sijui elimu wasaidiane maisha sijui shape wengine wanaenda mbali kuchagua hata rangi,mke simple mama wa nyumbani kichwani form four au hata std 7 bora ajue kuwasahihisha watoto homework.
As for me,naamini zaidi maisha ya umoja wa kifamilia baba mama watoto but sijawahi kuzingatia uzuri wala elimu ya mwanamke kwa sababu mwisho wa siku siyo elimu wala uzuri wake utakaoleta furaha ndani ya nyumba.
NB;yote hapo juu hata kama utayazingatia kwa 100% kama hujamaliza michezo ya ujana au hutaki kukubali kuendana na ukuaji wako wa akili ukaendekeza ujinga umalaya mabishani yasiyokuwa na tija huyu huyu mwanamke wa kawaida atakuvuruga so ingia ukijua uta-stick na kitu kimoja tu,mkeo na wanao mtakaozaa.