Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kampeni ya Kupinga ndoa naona kama imeshika Kasi kubwa sana kwa miaka ya hivi Sasa. Why this?Kwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4 sema watu huwa hawachukui hatua za tahadhari mapema . Amani yako na usalama wako ni muhimu zaidi
Kutokana na mtukio yanayoendeleaKampeni ya Kupinga ndoa naona kama imeshika Kasi kubwa sana kwa miaka ya hivi Sasa. Why this?
PmjAsante
Ni sahihi kabisa. Ingawa wazungu walioleta dini ya Kikristo wamedai eti talaka hairuhusiwi lakini wazungu hao hao wakaleta na sheria ya ndoa inayoruhusu talaka kupitia mifumo ya kimahakama. Tutumie talaka vizuri ndoa zinaposhindikana. Tuache upuuzi wa kusema eti Mungu amekataza takala. Toa talaka ili uepuke mauaji, majeraha, visasi na mabalaa mengine. Tuwaige waislam kwenye hili. Ndoa imekuwa chungu, IVUNJWE kabla hayajatokea mabalaa.Kwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4 sema watu huwa hawachukui hatua za tahadhari mapema . Amani yako na usalama wako ni muhimu zaidi
KatekelezeAsante
SAHIHIKwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4 sema watu huwa hawachukui hatua za tahadhari mapema . Amani yako na usalama wako ni muhimu zaidi
Hhhhh imekaa vzrKATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Shida ipo kwenye mapokeo mabaya ya diniNi sahihi kabisa. Ingawa wazungu walioleta dini ya Kikristo wamedai eti talaka hairuhusiwi lakini wazungu hao hao wakaleta na sheria ya ndoa inayoruhusu talaka kupitia mifumo ya kimahakama. Tutumie talaka vizuri ndoa zinaposhindikana. Tuache upuuzi wa kusema eti Mungu amekataza takala. Toa talaka ili uepuke mauaji, majeraha, visasi na mabalaa mengine. Tuwaige waislam kwenye hili. Ndoa imekuwa chungu, IVUNJWE kabla hayajatokea mabalaa.
Halaf mimi nikajuaga ni bongo tu aisee hii kampeni kumbe ni worldwide.Kampeni ya Kupinga ndoa naona kama imeshika Kasi kubwa sana kwa miaka ya hivi Sasa. Why this?
Wanaokataa ndoa wote wapumbavu tuHalaf mimi nikajuaga ni bongo tu aisee hii kampeni kumbe ni worldwide.
Kuna mwamba mmoja mmarekani huko youtube anaitwa John Griffin, aisee yule ukimsikiliza kama hujaoa hutakaa uoe na kama umeo utasema hiv kwann nilioa!? πππ
Kama ndoa imevunjika ndio kabisaa utaona dahhh hiv kwann haikunjika toka zaman imechelewa hivi?? ππ
Mbaya zaid, soma comments sasa uona, aisee ni mamia kama sio maelfu ya watu (wanaume) wanashusha vivid testimonies za majanga ya ndoa, unaweza ukaogopa.
Ahahah..sawa. wanasababu zao lakin msiwapuuze.Wanaokataa ndoa wote wapumbavu tu
Ndiyo ni kweli sababu wanazo lakini si za msingiAhahah..sawa. wanasababu zao lakin msiwapuuze.
Point gan anazisema sana?Halaf mimi nikajuaga ni bongo tu aisee hii kampeni kumbe ni worldwide.
Kuna mwamba mmoja mmarekani huko youtube anaitwa John Griffin, aisee yule ukimsikiliza kama hujaoa hutakaa uoe na kama umeo utasema hiv kwann nilioa!? πππ
Kama ndoa imevunjika ndio kabisaa utaona dahhh hiv kwann haikunjika toka zaman imechelewa hivi?? ππ
Mbaya zaid, soma comments sasa uona, aisee ni mamia kama sio maelfu ya watu (wanaume) wanashusha vivid testimonies za majanga ya ndoa, unaweza ukaogopa.
Mkuu wewe utaoa tena?Ahahah..sawa. wanasababu zao lakin msiwapuuze.