Ndoa yeyote isiyo na maelewano haitibiki ni kuvunjwa

Ndiyo ni kweli sababu wanazo lakini si za msingi
Sawa mkuu, japo linapoja sababu kuwa za msingi au sio, that it relative concept. Inategemeana na malengo ya mtoa hoja. Kwako zaweza kuwa si kitu kwale ni za maana na mifano anakupa
 
Point gan anazisema sana?
Mkuu, yan kwakifupi ana series, alot of topics. Lot of them. Kwakifupi jamaa anachimbua haya masuala kitaalamu sana, sio kibinafsi, na mitazamo yako iko very balanced, not biased
 
Mkuu wewe utaoa tena?
Mkuu, sasa nioe tena kutafuta nini ndugu yangu. Hapana, i will not. Sihitaji hayo masuala kwasasa, na wala sioni manufaa yake tena kama family yangu ishapangaranyika, basi siwez tena bet kwenye suala la ndoa kabisaa
 
Ndoa ni nzuri kwa aliyefumba macho bila kuzingatia qualities sijui elimu wasaidiane maisha sijui shape wengine wanaenda mbali kuchagua hata rangi,mke simple mama wa nyumbani kichwani form four au hata std 7 bora ajue kuwasahihisha watoto homework.

As for me,naamini zaidi maisha ya umoja wa kifamilia baba mama watoto but sijawahi kuzingatia uzuri wala elimu ya mwanamke kwa sababu mwisho wa siku siyo elimu wala uzuri wake utakaoleta furaha ndani ya nyumba.

NB;yote hapo juu hata kama utayazingatia kwa 100% kama hujamaliza michezo ya ujana au hutaki kukubali kuendana na ukuaji wako wa akili ukaendekeza ujinga umalaya mabishani yasiyokuwa na tija huyu huyu mwanamke wa kawaida atakuvuruga so ingia ukijua uta-stick na kitu kimoja tu,mkeo na wanao mtakaozaa.
 
Bado sio guarantee mkuu.
 
Okay. Ndio tunakuambia sisi kaka zako sasa au yawezekana sis wadogo zako. Kikubwa omba Mungu,nila usijitie kichwa ngumu namna hii unayofanya hapa.
Tunakueleza kwa wema. Take it ot leave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…