Nimetoka kuambiwa goodnight saa mbili usiku, na wakati aliniahidi atanipigia baada ya dakika “15”…, akiwa njiani Tena anaendesha saa 11 jioni, Tena ananiambia “Leo Nina hamu ya massage”… nashangaa dakika “15” zimekamilika saa mbili usiku 😳😂😂😂 nafkiri ametoka kufanyiwa massage
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.