Nimetoka kuambiwa goodnight saa mbili usiku, na wakati aliniahidi atanipigia baada ya dakika β15ββ¦, akiwa njiani Tena anaendesha saa 11 jioni, Tena ananiambia βLeo Nina hamu ya massageββ¦ nashangaa dakika β15β zimekamilika saa mbili usiku π³πππ nafkiri ametoka kufanyiwa massage
Ila fresh! #MsioeNyie