Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

Pamoja na sheria zote za kidini, kimahakama...Binafsi nina Sheria zangu mwenyewe ambazo hazihitaji mtu kuingilia...mwanamke akienda kinyume na hizi sheria zangu nafukuza mara mojaaa!..mambo ya kusema ndoa ni Agano la milele ni upumbavu wa hali ya juu mwanamke aki cross Red line na kuingia kwenye hizi sheria zangu simwachi salama.Hata tuwe tumefunga ndoa ya kikristo, kiislamu, kiserikali au la! Sheria zangu ndio kila kitu..
 
Nashengena na FRESHMAN nimefanya Utafiti na haya ndio majibu:

Kwanza cheti hutolewa na bakwata,,

Tukija katika kuvunja ndoa iko hivi,,,,Ni bakwata Makao Makuu Tu ndio inatambulika na serikali kuvunja ndoa,ila huku wilayani hawana malamka hayo kwasasa,,,,ndio maana mlivyosema kuwa bakwata siku hizi haivunji ndoa ilikuwa ngumu kuelewa na nilijua Tu lazima kutakuwa na condition kadhaa.

Lakini hata huko Makao Makuu kama kesi ina ugomvi na purukushani kuhusiana na Mali hapo ndio itaenda Mahakamani.

Niliulizwa kwanini waislamu wanataka Mahakama ya kadhi? Jibu ni kusuluhisha mambo kama haya,kwasababu Mahakama ya kadhi ikishapitishwa kisheria basi yenyewe inatatua mambo yote hayo.
 
Mtu hana mke, hana mtoto, atakupaje mafundisho ya ndoa?? Nawashauri wakristu waende kwenye ndoa za serikali ila baadae wazibariki kama Kuna ulazima. Wengi hawapendi kwani walishatishiwa kuhusu moto wa milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiwa na ndoa atakupa mafundisho kulingana na ndoa yake. Kitu ambacho kinaweza kisifanye kazi kwako. Asiye na ndoa ndiye anaqualify zaidi kutoa mafundisho.
 
Wewe unadhani ni kwa nini waislamu wanataka mahakama ya kadhi?
kwanza jua kwa muislamu islamu si dini tu ila ni mfumo mzima wa maisha ya muislamu aliyochaguliwa na mola wake mlezi aishi hapa duniani. kuhusu waislamu kutaka mahakama ya qadhi nadhani sababu zipo nyingi tu ila kwanza jua.

mahakama ya qadhi ni mahakama ambayo inafuata sharia ya kiislamu ,nadhani sababu moja wapo ni baadhi ya wanaume waislamu kutokuwa waadilifu kikawaida kama mume na mke mmetafuta wote basi hata kwenye kuachana mnatakiwa mgawane pasu kwa pasu sasa unakuta mtu anapindisha hapo ili either asitoe kabisa au apate zaidi ,kingine ndoa ni mkataba mzito kwenye uislamu na hivyo lazima uje na makubaliano maalum sasa ikatokea mtu kaenda kinyume na mkataba hapo lazima qadhi awepo maana si kila mtu kaisoma dini .

na kingine mahakama ya qadhi haisimamii tu maswala ya ndoa bali inahakikisha sheria za dini ya kiislamu zinasimama sawa sawa kitu ambacho kitasababisha kuwe na serikali mbili ndani ya nchi na ndiyo maana serikali ya SISIEM haitokubali hili jambo liwepo hata kama itakuwepo basi wata restrict mambo mengi sana yaani kana kwamba mahakama itabaki inashughulikia maswala ya ndoa pekee.

Allah anajua zaidi,
 
Usimsingizie Allah wakati Allah alishakupa akili, waislamu walikuwa wanapambana kupata mahakama ya kadhi kwa mambo yako ya mirathi, ndoa na talaka kwa sababu kwa Sasa Bakwata ni chombo tu mashauri hakina nguvu za kusheria.

Mahakama ya kadhi iliyokuwa inapiganiwa na waislamu siyo total Sharia, mwizi akatwe mkono au mzinzi apigwe mawe hadi kifo.
 
 
Sasa unahangaika nin maelezo yote wewe funga ndoa ya kiislamu, achana na ukristo waache wanaotaka mke mmoja wapambane na matatizo yao ...sio shida zako hakuna mtu analazimishwa kufunga ndoa ya kikristo kama hauwezi achana nayo funga ndoa ya kiislamu
 
Mbona ndo nioichoandika hapo au huwa hausomi reply?

🤔 umenihuzunisha sana.
 
Acha uongo mie mwenye mkristo,ukweli ndio za wenzetu Islamic ndoa zao hata zikiwa za Mme na wake 3 zipo vizuri kuliko zetu za mke mmoja.mbona huwa hatuoni huku mtaani wakisema wanapeana magonjwa??
Ulitaka uambiwe kila kitu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
WAISLAM BHANA ETI SHERIA ZA KISLAM ZMEKAMILIKA SJUI KWA LIPI SASA? YAN TARATIBU ZA MTU KUAMUA KUACHANA NA MKEWE AU MUMEWE NALO NI LA KUTAMBA AU NALO LINAHTAJI SHERIA KWAMBA MI NIMEAMUA KUACHANA NA MKE WNG KUNA WA KUNIZUIA AU KUNIRUHUSU KWA KUANGALIA SHERIA YA DINI? PUMBAV KBS SWALA LA KUACHANA LINAPOLETA MGOGORO SKU ZOTE HUWA NI MALI TU HZO SHERIA ZA DINI YA MWAMED HAZINA TIJA KAMA MTU AKIAMUA KUPGA CHINI NDOA. MAHAKAMAN KUNA KESI KIBAO ZA TARAKA ZA WAISLAM HIVI NDOA MUIVUNJIE BAKWATA HALAFU MALI MKAGAWANE MAHAKAMAN DANGANYA WAPUMBAV
 
MAHAKAMA YA TZ HAITAMBUI TALAKA YA BAKWATA YAN NYIE MPEANE TALAKA BAKWATA HALAFU MKAFUNGUE KESI YA MALI MAHAKAMAN WE ULISKIA WP MNAPOKUWA HUKO MASJID MNADANGANYANA SN KAZ KUJADILI MAMBO YA DINI ISIYOWAHUSU. YAN JAMBO HILO LIKSHAKWENDA MAHAKAMAN MAANA YAKE MAMBO YANAANZA MOJA KUANZIA TALAKA MPK MALI TALAKA YA BAKWATA NI FAKE HUKO MAHAKAMAN MAANA MNATAKA KUAMINISHA WATU HUMU KWMB KESI ZA NDOA, TALAKA, MALI HUKO MAHAKAMAN NI ZA WAKRISTO TU ETI WAISLAM WANAMALZA KIDINI LABDA HUYO MWANAMKE AONE WE NI KAPUKU HAITAJI CHOCHOTE TOKA KWAKO ASEPE ZAKE KAMA KUNA VITU ANATAKA HIYO TALAKA YAKO YA BAKWATA UTAIFUNGIA BAJIA TU MBELE YA MAHAKAMA.
 
maana inaeleweka wazi sheria za dini ya kislam khs mwanamke huwa si lolote kbs hakuna mwanamke mwny akili ambaye anaona kuna mali utampea talaka bakwata wanaopewa huko bakwata ni wale wameona we ni kapuku tu na hawana elimu ya kutosha anayejielewa hawez kubali ujinga huo ever. Mtapelekana mahakaman kwa kila ktu we mtu ndan mna ktanda tu mtu mwny akili timamu atakwambia lete hizo talaka zako za bakwata maana anaona utampotezea muda tu huko mahakaman maana huna cha kumpa.
 
Mambo mengine bwana yaani kweli nifungwe na Sheria za kanisani kisa nini? Apo ikifikia ivo nitatumia utashi wangu Mimi kama Mimi na si kanisa tena juuu yangu
 
Unajua wakati mwingine unaweza ona wenzako wapumbavu kumbe wewe ndo MPUMBAVU NAMBA MOJA!

Tunapozungumzia Sheria zimekamilika inamaana katika Nyanja zote,iwe ndoa,mirathi,utawala na kadhalika.

Kwa mfano ingekuwepo au Mahakama ya kadhi ingeruhusiwa Mambo yote yange malizwa katika mahakama hiyo,na usingeona kesi ya ndoa ya kiislamu katika mahakama za serikali.
 
Nimefanya Utafiti na nimetoa majibu kuwa Bakwata Makao Makuu Tu ndo inatoa talaka,,,,sijui huwa husomi au haulewi,umejawa na jazba Tu,pole sana
 
Nimefanya Utafiti na nimetoa majibu kuwa Bakwata Makao Makuu Tu ndo inatoa talaka,,,,sijui huwa husomi au haulewi,umejawa na jazba Tu,pole sana
Hiyo talaka haitambuliki kisheria, ni lazima upate divorce decree ya mahakama.
 
Kwani hufahamu kama wanawake ni wengi kuliko wanaume? Je hio ziada ya wanawake inapataje furaha ya mahusiano ya ndoa?
 
Hiyo talaka haitambuliki kisheria, ni lazima update divorce decree ya mahakama.
Iko hivi kwanza ukienda mahakamani watakuuliza Kwanza kuhusu bakwata,yaani hawawezi kusikiliza kabla hujapitia bakwata.

Bakwata Makao Makuu wanatoa talaka na inatambulika kisheria,,Ila kama ni ndoa ya ugomvi na purukushani wao hawaivunji Bali mnaenda kumalizana mahakamani.

Kwahiyo sio kwamba Bakwata imepokonywa kabisa mamlaka ya kuvunja ndoa laa! Ila Kwa mazingira hayo niliyo taja ndo unaenda mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…