Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

Mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha.

Baki na ujinga wako.
 
Acha uongo mie mwenye mkristo,ukweli ndio za wenzetu Islamic ndoa zao hata zikiwa za Mme na wake 3 zipo vizuri kuliko zetu za mke mmoja.mbona huwa hatuoni huku mtaani wakisema wanapeana magonjwa??

uongo upi!!!huu utafiti wa ndoa nzuri zaidi kuwa za kiislam umeutoa wapi!!!

waislam wangapi wana wake wanne au watatu licha ya dini kuruhusu????

wewe kama ndoa yako iko taabani changa karata zako vizuri,ukiona ni idadi ya wanawake itainusuru,hamna shida weka vimada nje uwe unakwenda kulala kwa zamu.ukimaliza mzungungo nipe matokeo umegundua nini.
 
Bible imetamka mke mmoja tu.

kama unaona unaweza kuongeza,usiogope macho ya watu wewe endelea tu.
Naomba unitafutie kifungu katika biblia kinachosema mnatakiwa kuoa mke mmoja Tu,,,,nipo hapa nasubiri!
 
Kama unao uwezo wa mali na nguvu za kiume na wewe ni MUISLAM nakushauri kuwa na mke zaidi ya mmoja huwezi kuwa na stress za kurudi nyumbani hata siku moja utaishi peaceful life kila mmoja wao atahakisha yeye anakuwa bora kuliko mwingine.
 
Kaka umeongea utopolo sana

Nanukuu
Ukristo hauna sheria moja

Kama unakijua ulichoandika naomba kujua sheria ya kila dhehebu ulilitaja na uniambie andiko ambalo kila dhehebu linasimamia mana biblia ndo katiba yetu

Umeniuzi kweli
 
Kaka umeongea utopolo sana

Nanukuu
Ukristo hauna sheria moja

Kama unakijua ulichoandika naomba kujua sheria ya kila dhehebu ulilitaja na uniambie andiko ambalo kila dhehebu linasimamia mana biblia ndo katiba yetu

Umeniuzi kweli

Ndio ukristo hauna sheria moja mfano Mimi ni mkristo msabato.

Sisi wasabato hatusomi agano jipya.

Tunasali jumamosi na sio jumapili

Hatuli nguruwe huku dhehebu lingine linakula.

Je sisi wasabato sio wakristo?
 
Ndio ukristo hauna sheria moja mfano Mimi ni mkristo msabato.

Sisi wasabato hatusomi agano jipya.

Tunasali jumamosi na sio jumapili

Hatuli nguruwe huku dhehebu lingine linakula.

Je sisi wasabato sio wakristo?
Hizo tofauti zote kila mtu anazijuwa
Nakuuliza sheria ya ndoa inasemaje kwa kila dhehebu?? [emoji23] mana kwa hapo mimi ni mgeni
 

Tozo zinakuchanganya
 
Hizo tofauti za kila mtu anazijuwa
Nakuuliza sheria ya ndoa inasemaje kwa kila dhehebu?? [emoji23]

Sheria na kanuni ya Roman catholic wao ndoa yao haivunjiki mpaka kifo kiwatenganishe. Huruhusiwi kufunga ndoa ya pili kama mkeo wa mwanzo ama mumeo wa mwanzo hajafa.

Sisi wasabato ndoa inavunjika hata kama kifo hakijawatenganisha. Sisi unaweza ukaoa tena kama ndoa ya mwanzo imevunjika
Nimeongelea dhehebu langu sababu nalijua.

Roman nimetoa kama mfano kwa kusikia taratibu zao. Kama nimeongopa wa roman watanisaidia
 
Ndio ukristo hauna sheria moja mfano Mimi ni mkristo msabato.

Sisi wasabato hatusomi agano jipya.

Tunasali jumamosi na sio jumapili

Hatuli nguruwe huku dhehebu lingine linakula.

Je sisi wasabato sio wakristo?
Wasabato siyo Wakristo.
 
Wasabato siyo Wakristo.

Inawezekana ukawa sahihi..

Ila kwa ufupi
Wasabato ni Wakristo wanaomuabudu Mungu hasa siku ya Sabato, kama ilivyo kwa Wayahudi, tofauti na Wakristo walio wengi (99%) wanaoadhimisha tangu kale Jumapili kama siku ya ufufuko wa Yesu ambayo umeanza uumbaji mpya utakaofanya viumbehai kushiriki utukufu wa Mwana wa Mungu.

Pia kwa Tanzania tupo kwenye kundi la wakristo.

Hata sheria ya ndoa na mirathi ya Tanzania inatutambua kama wakristo.
 
Founder wa Wasabato si ndio huyu mwanamke Hellen G White?

Agano jipya ndio injili ya Yesu Kristo Sasa kama hutumii agano jipya huo Ukristo wako unatoka wapi?

Wasabato ni dini inayojitegemea na siyo Wakristu.
 
Founder wa Wasabato si ndio huyu mwanamke Hellen G White?

Agano jipya ndio injili ya Yesu Kristo Sasa kama hutumii agano jipya huo Ukristo wako unatoka wapi?

Wasabato ni dini inayojitegemea na siyo Wakristu.

Kwa Tanzania hakuna dini ya kisabato.

Sheria ya ndoa na mirathi ya Tanzania. Imewaweka wasabato katika kundi la wakristo
 
Kanisa limekuwepo kabla ya serkali. Unapofunga ndoa hulazimishwi na unaulizwa uko tayari mpaka kifo kiwatenganishe, sasa shida Nini? Kama umelijua hili mapema usifunge ndoa au hama kanisa nenda huko kwenye uhuru. Binadamu bwana, don't force the church to change, always you have options use them.
 
Kanisa linatumia vyeti vya ndoa vya serikali, hakuna ndoa yoyote mpaka kifo, ndoa ikishindikana inavunjwa mahakamani, kama hujui jambo ni bora uombe kuelimishwa kuliko kulazimisha maoni yako ndio yawe fact.
 
Wewe ndio huelewi
Kanisa linatumia vyeti vya ndoa vyaD serikali, hakuna ndoa yoyote mpaka kifo, ndoa ikishindikana inavunjwa mahakamani, kama hujui jambo ni bora uombe kuelimishwa kuliko kulazimisha maoni yako ndio yawe fact.

Kanisa linatumia vyeti vya ndoa vya serikali, hakuna ndoa yoyote mpaka kifo, ndoa ikishindikana inavunjwa mahakamani, kama hujui jambo ni bora uombe kuelimishwa kuliko kulazimisha maoni yako ndio yawe fact.
Wewe ndio huelewi kutumia vyeti vya serkali hakuipi mamlaka yoyote serkali kuingilia taratibu za kanisa, Sheria za kanisa zimekuwepo kabla ya hiyo serikali. Na kwa taarifa yako Vatican is independent state with its own governance. Narudi Tena SI lazima uwe kwenye kanisa you have options use them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…