fa pink passion
Member
- Jul 30, 2014
- 5
- 0
Huwa Kuna aina 3 za ndoa
1. Za kidini ( za kiislam na kikristu)
2. Za bomani (kwa mkuu WA wilaya)
3. Za kimila (kulingana na tamaduni zenu)
kwa maana hiyo hakuna ndoa za mahakamani.
mpaka hapo nafikiri unaweza rekebisha swali, au nikawa nimekujibu kwa namna nyingine.
...heading to divorce ndoa zingine huwa zinakuwa mahakamani? labda ndiohilo anaulizia?
Huwa Kuna aina 3 za ndoa
1. Za kidini ( za kiislam na kikristu)
2. Za bomani (kwa mkuu WA wilaya)
3. Za kimila (kulingana na tamaduni zenu)
kwa maana hiyo hakuna ndoa za mahakamani.
mpaka hapo nafikiri unaweza rekebisha swali, au nikawa nimekujibu kwa namna nyingine.
za boman zko je
sheria za ardhi unazo pia mzee?mambo haya ni madogo sana, unaweza kuyaelewa kwa siku moja tu mambo yote yanayohusu ndoa. hebu bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI
...za bomani (civil marriage) Mara nyingi hufanywa na watu wanaoabudu dini tofauti, hasa waislam na wakristu, na Kila mmoja amependa kuendelea na imani yake,
au Kuna watu wanaamua kufungia huko kwa sababu zao binafsi, maana Kule hata kuvunja ndoa inakuwa Ni rahisi.