Ndoa za mahakamani

Ndoa za mahakamani

Huwa Kuna aina 3 za ndoa
1. Za kidini ( za kiislam na kikristu)
2. Za bomani (kwa mkuu WA wilaya)
3. Za kimila (kulingana na tamaduni zenu)

kwa maana hiyo hakuna ndoa za mahakamani.

mpaka hapo nafikiri unaweza rekebisha swali, au nikawa nimekujibu kwa namna nyingine.
 
...heading to divorce ndoa zingine huwa zinakuwa mahakamani? labda ndiohilo anaulizia?
 
Huwa Kuna aina 3 za ndoa
1. Za kidini ( za kiislam na kikristu)
2. Za bomani (kwa mkuu WA wilaya)
3. Za kimila (kulingana na tamaduni zenu)

kwa maana hiyo hakuna ndoa za mahakamani.

mpaka hapo nafikiri unaweza rekebisha swali, au nikawa nimekujibu kwa namna nyingine.

za boman zko je
 
za boman zko je

...za bomani (civil marriage) Mara nyingi hufanywa na watu wanaoabudu dini tofauti, hasa waislam na wakristu, na Kila mmoja amependa kuendelea na imani yake,

au Kuna watu wanaamua kufungia huko kwa sababu zao binafsi, maana Kule hata kuvunja ndoa inakuwa Ni rahisi.
 
...ndoa hizo hufungishwa na mkuu WA wilaya. Kama unataka kufanya hivyo unaweza nenda pale watakupa utaratibu.
 
...za bomani (civil marriage) Mara nyingi hufanywa na watu wanaoabudu dini tofauti, hasa waislam na wakristu, na Kila mmoja amependa kuendelea na imani yake,

au Kuna watu wanaamua kufungia huko kwa sababu zao binafsi, maana Kule hata kuvunja ndoa inakuwa Ni rahisi.

Na je kwenye ndoa hii ya bomani, kuna sheria yoyote inazungumzia kuhusu watoto na haki zao za kufuata imani za mzazi yupi kabla hawajafika umri wa wao wenyewe kuchagua dini yao?
 
...kuukweli bado sijaona sheria inayotoa muongozo khs imani, lakini nafikiri mambo kama hayo ni makubaliano kati ya mke na mume
 
Hivi ukifunga ndoa ya bomani baadaye kwa sababu zozote zile ikavunjika na mahakama je, katika imani ya kiktristo, kanisa watakubali kwamba unaweza kuoa au wao wataendelea kuitambua ile ndo ya bomani hata kama imevunjwa na mahakama: kwa maana nyingine hutaruhusiwa kuoa kwa imani ya kikristo ingawa ile ya bomani
 
Back
Top Bottom