Wee homeboy inabidi ubadilike. Achana na huo mchezo mchafu ni dhambi kwa MUNGU tena mbaya sana. Kisha mshauri na rafiki yako Fidel naye aache.
mbu unanifanya nitoke kwenye mada.......lakini mkiwa na watoto lazima 'muibie' fulani hivi kugusana. ......watoto wasijekuwafuma wakapofuka bure!
ndoa lazima kuwe na sacrifices kila upande. kubali kulalia upande wke pia wakati wengine ili na yeye asione tabu kulalia uande wako muda mwingi.
yeah, hapo nimekosa kaka mbupheeeeeeewww...angalau umekosa la kusema hapa, π
kinachonishangaza zaidi ni wanaume hawa hawa waliopo bongo sasa, wakati walipokuwa viwanja vya watu huko, walikuwa wakifanya mambo telee kusaidia wake/gf zao. leo wameikanyaga tz ndo wamekuwa hawawezi tena!
washajiwekea wanawake wa kiafrika ni watumwa, sasa imekula kwao kizazi kingine hiki
kinachonishangaza zaidi ni wanaume hawa hawa waliopo bongo sasa, wakati walipokuwa viwanja vya watu huko, walikuwa wakifanya mambo telee kusaidia wake/gf zao. leo wameikanyaga tz ndo wamekuwa hawawezi tena!
...upo sahihi hasa!
Tatizo ni kina mama wa kileo kujibweteka! ...wengine usipowatolea uvivu utakuta hata chupi za mkeo na boxers zako zinafuliwa na house girl!...
Muhimu baba mwenye nyumba kuhakikisha hako kabinti nako kanapata mahitaji yake muhimu ya kibinaadamu, ....!
...na kweli, kuibia kutamu hata kama mshajihalalishia, chap chap kabla watoto hawajarudi shule, nk...π
MMH, with all the due respect sir, hujamla kweli huyu? je hata kufikiria kumla ushafikiria? kama bado acha ndugu yangu just try kurekebisha mapungufu ya mkeo kwa utaratibu. btw vingine kama hivyo kwenye zambarau unaweza kufanya mwenyewe bila kuhitaji msaada wa dada.utanisahihisha kama nimekosea....
Pamoja na mengineyo mengi
- wanaotunza nyumba( usafi,mazingira, chumbani kwa mabosi) ni mahouse girl
- wanaotunza watoto ni mahouse girl
- wanaofuatilia maendeleo ya watoto ndio hao hao
- wanaomtayarishia baba mahitaji(maji ya kuoga, chai..nk.) bila kulalama uchovu ni mahousegirl
- bila housegirl chakula hakipo, kikiwepo basi kitachelewa na ladha hairidhishi
- mpangilio wa chakula mama lazima apate ushauri wake....utasikia ...dada leo tunapika/tunakula nini?
Baba mie, sijui wengine__ I find it rahisi kumuomba/kumtuma hg maji ya kunywa, kubrash viatu, maji ya kuoga, n.k kwani atavifanya bila kulalama au kukunja uso__usinielewe vibaya ( sijafika unakofikiria)...TATIZO ni nini hasa? aaaaagghhhh!!!
- akirudi mama huyu bado atampelekesha house girl bila kujali
- house girl huyu huyu hana uhuru wa kukaa meza moja kula chakula alichokiandaa mwenyewe akiwa na matajiri wake
- kosa dogo mtaa wa pili watalisikia kwa kelele zitakazotolewa na bibie tajiri
- akivaa vizuri pia nalo ni kosa endapo atasalimika kutuhumiwa mwizi
- hana haki ya kupumzika wala kula gudi taimu n.k
- ole wake acheke au atabasamu akiongea na baba then mama amuone kwa bahati mbaya...atakoma!
yeah wajibu wetu indeed! na nyie wajibu wenu si kutafuta nyumba nzuri zenye hoovers na kuhakikisha ndani kuna dishwasher na washing mashine? au hapo unasemaje?...hakuna mgao kule,...halafu si unajua tena hoover linaunguruma ukibonyeza kitufe tu, dishwasher nayo aaaah, washing mashine na dryer kama kawaida...
Sasa ukija Bongo utafute taulo la kupigia deki, maji yenyewe mgogoro,.. halafu mtu wewe wewe utoke na beseni lako la nguo ukaanike nguo uani kwenye kamba majirani wanakuchora ukianika sketi na chupi za mkeo? no way bana...
Kama wife anataka usaidizi hausigeli wapo, lakini watendewe utu!
...sio utumwa jamani, wajibu wenu tu.
sasa unalalama nini, kama vp fanya mwenyewe, unajua maji yalipo yawe ya kuoga, ya kunywa na nguo kunyoosha unaweza vilevile so fanya. unataka kufanyiwa na mkeo vyote hivyo bila kujali yeye pia katoka kazini kachoka kama wewe na kumsaidia hutaki. enzi za kutumikisha wanawake zishaisha, kama kazini tunaenda wote, na bado nina mzigo wa kubeba mimba na kuzaa na kutunza watoto na ninachangia family expenditures, why then should i still be your maid? Mi nafikiri ifikie mahali wanaume na nyie mbadilike, muone kusaidia kazi za nyumbani si kujidhalilisha, bali ni upendo kwa mkeo na msaada pia.kama ni mama wa nyumbani anaekaa home kusubiri utoke job ulete mahitaji ntakuelewa lakini kama ukiamka na yeye anaamka mnaenda wote job na kurudi, sioni kwa nini uwalaumu wanawake, play your part, they are people just like you.
sijasema ni mzigo na wala sijawahi kutaka kuwa mwanaume ila tu lazima mkubali kuwaheshimu na kuwathamini wanawake, they go through alot, some things you have no idea of, at least you should understand that and help them when necesary. period. ....and i am proud to be a woman, keep it in the records!πAmin,Amin nakuambia kama unaona huo ni mzigo, napata hisia kuwa unajilaani kuumbwa mwanamke.Je,, ungependa kuwa mwanaume?
Kumbe ndo maana wewe Anopheles quadrimaculatus unashinda kwenye Jukwaa la mambo ya Kikubwa, Michezo na Mahusiano....Njoo kwenye siasa tunajadili Dowans kule!
enzi za kutumikisha wanawake zishaisha, kama kazini tunaenda wote, na bado nina mzigo wa kubeba mimba na kuzaa na kutunza watoto na ninachangia family expenditures, why then should i still be your maid?
sijasema ni mzigo na wala sijawahi kutaka kuwa mwanaume ila tu lazima mkubali kuwaheshimu na kuwathamini wanawake, they go through alot, some things you have no idea of, at least you should understand that and help them when necesary. period. ....and i am proud to be a woman, keep it in the records!π
utanisahihisha kama nimekosea....
Pamoja na mengineyo mengi
- wanaotunza nyumba( usafi,mazingira, chumbani kwa mabosi) ni mahouse girl
- wanaotunza watoto ni mahouse girl
- wanaofuatilia maendeleo ya watoto ndio hao hao
- wanaomtayarishia baba mahitaji(maji ya kuoga, chai..nk.) bila kulalama uchovu ni mahousegirl
- bila housegirl chakula hakipo, kikiwepo basi kitachelewa na ladha hairidhishi
- mpangilio wa chakula mama lazima apate ushauri wake....utasikia ...dada leo tunapika/tunakula nini?
Baba mie, sijui wengine__ I find it rahisi kumuomba/kumtuma hg maji ya kunywa, kubrash viatu, maji ya kuoga, n.k kwani atavifanya bila kulalama au kukunja uso__usinielewe vibaya ( sijafika unakofikiria)...TATIZO ni nini hasa? aaaaagghhhh!!!
- akirudi mama huyu bado atampelekesha house girl bila kujali
- house girl huyu huyu hana uhuru wa kukaa meza moja kula chakula alichokiandaa mwenyewe akiwa na matajiri wake
- kosa dogo mtaa wa pili watalisikia kwa kelele zitakazotolewa na bibie tajiri
- akivaa vizuri pia nalo ni kosa endapo atasalimika kutuhumiwa mwizi
- hana haki ya kupumzika wala kula gudi taimu n.k
- ole wake acheke au atabasamu akiongea na baba then mama amuone kwa bahati mbaya...atakoma!
nashukuru sana Fidel naamini sijachelewa kwani nimewakuta wote mnaelimishana vema na kutia moyo.Naamini nami nitajifunza mengi asante sana wanajamii katika darasa hili nyeti na lenye changamoto nyingi.Namdawa karibu sana jamvini yaani hapa watu tunajenga na kubomoa hoja karibu sana hujachelewa na hujapitwa na kitu mama mimi ndo Baba Mtakatifu mwenyewe kwa hapa jamvini kuna mashemasi said:.[/B]
utanisahihisha kama nimekosea....
Pamoja na mengineyo mengi
- wanaotunza nyumba( usafi,mazingira, chumbani kwa mabosi) ni mahouse girl
- wanaotunza watoto ni mahouse girl
- wanaofuatilia maendeleo ya watoto ndio hao hao
- wanaomtayarishia baba mahitaji(maji ya kuoga, chai..nk.) bila kulalama uchovu ni mahousegirl
- bila housegirl chakula hakipo, kikiwepo basi kitachelewa na ladha hairidhishi
- mpangilio wa chakula mama lazima apate ushauri wake....utasikia ...dada leo tunapika/tunakula nini?
Baba mie, sijui wengine__ I find it rahisi kumuomba/kumtuma hg maji ya kunywa, kubrash viatu, maji ya kuoga, n.k kwani atavifanya bila kulalama au kukunja uso__usinielewe vibaya ( sijafika unakofikiria)...TATIZO ni nini hasa? aaaaagghhhh!!!
- akirudi mama huyu bado atampelekesha house girl bila kujali
- house girl huyu huyu hana uhuru wa kukaa meza moja kula chakula alichokiandaa mwenyewe akiwa na matajiri wake
- kosa dogo mtaa wa pili watalisikia kwa kelele zitakazotolewa na bibie tajiri
- akivaa vizuri pia nalo ni kosa endapo atasalimika kutuhumiwa mwizi
- hana haki ya kupumzika wala kula gudi taimu n.k
- ole wake acheke au atabasamu akiongea na baba then mama amuone kwa bahati mbaya...atakoma!
I am better than my wife. Huwa analia sana wakati wa kumegana, afu anamalizia kwa kushukuru: Thanks Chris, you are everything to me!. You are so sweet. Hahahaha!