Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

thanks kwa mliochangia na mnaoendelea, nashukuru pia nimegundua kuna wadau wa tegeta by night,zero,nyamachabes, fyatanga, kimara kwa mushi, usangule n.k....nitatoa ofa ya tubia tuwili siku moja ila kwa kuwa humu jf tuna hide id, basi usishangae utakapopata bia toka kwa anonymous

back 2 ze mada!
naomba nieleweke kwamba nia yangu si ku-display mfumo dume ule wa kizamani kama ilivyotafisiriwa na baadhi ya wachangiaji, binafsi huwa naupinga sana na mimi ni mfano mzuri wa wababa ambao huwa wanafanya yale ambayo nikijieleza hapa itabidi nitafutiwe mtaalamu wa ku-defuse malimbwata!huwa nayafanya mengi kwa nafasi yangu, lakini wajameni hivi kweli ni sahihi mama karudi nyumbani saa kumi jioni, fine anatakiwa kupimzika, dada kakaa na watoto na kuhangaikia nyumba tangu asubuhi hawampi hata nafasi ya kupumzika, wa shule wanarudi saa kumi na moja, mama unaamka kumdai dada chai, waliorudi shule nguo zao na maandalizi ya kesho, mama unademand chai ukiwa unakodolea macho luninga yako! Baba anarudi, dada huyu huyu anaacha alichokuwa anakifanya kukimbilia kufungua geti!anakupokea na kukukaribisha, mama bize kwenye luninga, dada bila kuambiwa anamletea baba chai, baada ya chai baba unaingia kwenye kazi za nyumbani na kumuacha mama akiendelea kutazama isidingo, saa mbili unarudi kuangalia taarifa ya habari, mama ...daadaaa vipi hicho chakula bado? unamdai mtoto notebook unakuta kuna msg ya jana toka shuleni, wee jana ulichelewa kazini umewakuta wamelala! ukiuliza mama jibu sijaiona, dada akisikia .....baba samahani niliona jana lakini nilisahau kukuambia, jana mama alikuwepo tangu saa tisa mchana! dozi ya dawa za watoto lazima uhakikishe umemuelekeza dada, hata kama kwa bahati mbaya hukuweza kumpeleka mtoto hosp, alipelekwa na mama kwa shingo upande! ukimwachia mama kama si kumpa kwa muda tofauti basi kampunguzia au kumuoverdose mtoto!!!mama huyu huyu hajui iliko shule wanakosoma wanae, hana hata contact moja ya mwalimu wa mwanae!! jamaaaaaaani baba huyu atashika mangapi!?bado 95% ya matumizi ya nyumbani lazima yatoke kwa baba!
kwa upande wa huyu dada, hivi huwa hawachoki? hawana haki ya kupumzika na kuthaminiwa? ukipropose kumuongezea hivyo vijisenti vyake utasikia ...aaah zinamtosha, kwanza nyingi sana (20,000/= hiyo!!)
 
I hate this mentality kwamba mume afanyiwe, mume afanyiwe, halafu mbaya zaidi ni sis wanawake ndo tunapreach huu ujinga, sisemi kwamba maid hatakiwi kusaidiwa kazi no, nachosema hata baba asaidie kazi inapobidi. na kwa taarifa yako pretty, hawa viumbe waitwao wanaume wakitaka kulala na maids, barmaids, vichaa hata mama yako au sister wako, wanafanya tu, tena bila kujali kwamba huwa una amka saa kumi kumchemshia maji , kumtayarishia breakfast na kumnyosheea nguo. so i would advise you to find another way of thinking na siyo eti nikimfanyia kila kitu ndo hatatembea na housemaid.

Huyu mdada anaonekana kichwa ngumu na huyu hakawii kuua mume wakishapata mali huyu! Lol! Naona ndo lile group la wanawake wanaopenda kuwa single parent. Azae na mwamume fulani kisha aishi kivyake na mtoto wake. Mhhhh!
 
si unaona sas yani inapendeza kweli, wawili hawa watakuwa mwili mmoja ,yani watasaidiana katika shida na raha, na wataambatana kila waendako kama samaki na maji. gud example
Huwezi amini nilimpigia simu mme wangu nikampa huu ushuhuda nasi tukaambizana siku watoto wetu wakiwa wakubwa na wakawa na mijengo yao,nasi tubaki wawili home it will be the same.Oooh GOD tupe uzima,I really Love my Husband
 
kilambi huyo mke wako, ana abuse nafasi yake kwako.
ushauri wangu ni mchunguze, labda kuna kitu kinamsumbua........it sounds like she is depressed.
it might be work, au kitu chengine, ema nae taratibu na mshike mkono umuonyeshe kile wewe unachopenda huku ukimuonyesha kuwa wewe upo mstari wa mbele kumsaidia, nataraji atabadilika
 
Kaka I feel your feelings!! But with due respect kaka sometimes inabidi nanyi mara moja moja muwe mnayatia mapenzi chachu hata kwa kufanya kakitu kadogo kuonyesha kuwa unamsaidia wife. Sio unakuta mwingine kaka yeye anachojua ni kufanyiwa tu mfano
1. Anaamka asubuhi anakuamsha ukamwekee maji kwenye ndoo (na yanatoka bombani na ni master bedroom)
2. Umwekee dawa ya meno kwenye mswaki (usipoweka ataoga kisha atatoka kuja kuulizia mswaki wake)
3. Anatoka bafuni (hapo unakuta pant yake kaivua kaitupia kwenye sink anasubiri uje uife!)
4. Akitoka ushampigia pasi anavaa, anakunywa chai ulomwekea kisha huyooo funguo za gari zi wapi na akifika ndani ya gari ni honi mtindo mmoja unamchelewesha na usipokimbia na viatu mkononi anakuacha unakwenda ofcn kwa daladala au ukifanikiwa kuingia kwenye gari basi kusemwa mtindo mmoja unamchelewesha teke.

MCHANA KUTWA HATA KUKUPIGIA SIMU YA SALAMU AU SMS YA I MISS YOU!

5. Akirudi jioni akute chai yake mezani na maji bafuni
6. Atizame TV huku akisubiri chakula au asome magazeti yake
7. Akishakula huyooo kitandani analala huku akisubiri wewe uje ushushe neti na kumfunika na shuka!
8. Uingie kitandani baada ya kumaliza kazi zako akudake tayari kwa chakula cha usiku.
The life continues!

Kwa style hii kweli unategemea mkeo atakuwa anamapenzi na wewe? Si atajihisi hana tofauti na huyo housegirl jamani!

Jamani mara moja moja ukinisaidia kushusha net au hata kunipigia na mimi pasi I tell you nitaikumbuka kwa muda mrefu na moyo wangu kukongwa vilivyo!!

Excellent MJ1. You seem to be a good mama. Inasikitisha tu kusikia kuwa huyo jamaa amekutosa. Tulia mwombe MUNGU atakupa mume mzuri zaidi. Uliyoyasema hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwaonyesha wake zetu upendo wa kweli kwa kuwasaidia kazi mbalimbali nyumbani. Hata tendo la ndoa huandaliwa tangu asubuhi mnapoamka. Baba amka mapema andaa breakfast then kaeni na mamaa mle mnywe huku mmekanyagana miguu. Ukiwa kazini mpigie simu ya kuonyesha kumjali etc. Nakwambia muendapo kulala usiku mambo ni barabara hakuna mfano maana mama yuko tayari kwa vile kaandaliwa tangu asubuhi.
Men let us change.
 
Huyu mdada anaonekana kichwa ngumu na huyu hakawii kuua mume wakishapata mali huyu! Lol! Naona ndo lile group la wanawake wanaopenda kuwa single parent. Azae na mwamume fulani kisha aishi kivyake na mtoto wake. Mhhhh!
hehe hehe hee, kama una hasira ita polisi, i have said what i have said and i dont regret it. FYI i dont need to kill a person leave alone my lovely hubb for maoney or mali coz i know how to saka them hela,.
Si kosa lako lakini, mawazo yaleyale, mtazamo uleule na thinking capacity ileile. nyie ndo type za wanaume msiopenda wake zenu wafanikiwe na tena ndo nyie ambao mko tayari kuwaambia wake zenu waache kazi wakae kuwapikia, grow up men/woman and change your mentality, its 2009 and not 1950. karibu
 
si unaona sas yani inapendeza kweli, wawili hawa watakuwa mwili mmoja ,yani watasaidiana katika shida na raha, na wataambatana kila waendako kama samaki na maji. gud example

...duuuuh, haki ya nani shemeji yetu alieoa nyumba hii chamoto anakiona! 😱
 
Excellent MJ1. You seem to be a good mama. Inasikitisha tu kusikia kuwa huyo jamaa amekutosa. Tulia mwombe MUNGU atakupa mume mzuri zaidi. Uliyoyasema hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwaonyesha wake zetu upendo wa kweli kwa kuwasaidia kazi mbalimbali nyumbani. Hata tendo la ndoa huandaliwa tangu asubuhi mnapoamka. Baba amka mapema andaa breakfast then kaeni na mamaa mle mnywe huku mmekanyagana miguu. Ukiwa kazini mpigie simu ya kuonyesha kumjali etc. Nakwambia muendapo kulala usiku mambo ni barabara hakuna mfano maana mama yuko tayari kwa vile kaandaliwa tangu asubuhi.
Men let us change.
youi are contradicting your beliefs arent you? mara carmel akisema lazima tusaidiane unamuona muuaji, halafu hapa unarudia yaleyale ambayo carmel anaya-adress, but thanks you have seen my point thou you don want to admit.
 
Mimi nakubali kuna kazi na kazi za kusaidiana wala si kupiga deki au kufua nguo za kawaida. Lakini kunipigia pasi mfano nguo za ofc siku ukiamua unanyoosha zako na zangu, siku tuko wawili tu home ukinisaidia kupika au basi hata kushusha net wakati wa kulala utakatika mikono?

Nway kama alivyosema kaka Mbu ni kusaidiana na si lazima but kama huwezifanya hata kiduchu tend to appreciate. Hata hiyo kuna baadhi inawashinda.

Kusema ukweli mimi ninavunjika moyo na hata mapenzi huisha kabisa kama utanichukuliwa kama maid wake, tena afadhali maid sometimes inakutoka dada aksante kwa chakula
 
...duuuuh, haki ya nani shemeji yetu alieoa nyumba hii chamoto anakiona! 😱
haha hahaaaaaaa, huwezi amini anavyo enjoy maisha. hakya nani tena hata ukimpa second chance kuchoose aoe nani atanichagua mimi, i can assure you. there is order in the house na watoto wanona mfano jinsi wazazi wanayopendana na kushirikiana, usiogope mbu
 
Mkuu Mosquito umenena wewe na ndevu zako ushike tambala uanze kuzungusha kiuno una deki eti kazi kusaidiana sijui inakuja hiyo?

Imagine aisee!...

kwanza unawapa picha mbaya wanao wa kiume, na wale wa kike
watakuja kuwanyanyapaa wakwe zako kwa kisingizio ..."baba alikuwa anapigishwa deki na mama!"
 
youi are contradicting your beliefs arent you? mara carmel akisema lazima tusaidiane unamuona muuaji, halafu hapa unarudia yaleyale ambayo carmel anaya-adress, but thanks you have seen my point thou you don want to admit.

Dada Carmel,
Meseji yako niliyoi-address negatively ilikuwa imekaa Ki-Beijing zaidi. Suala la mume kumsaidia mkewe ni la msingi sana katika maisha ya ndoa lakini sipendi U-beijing utumike hapo. Otherwise tuko pamoja.
I love my queen and I feel good to help her and do good things for her.
 
mbu...sio kupigishwa deki, unamsaidia mkeo
hakuna ubaya hpo hata kdogo, na ndio kuzidisha mapenzi yenyewe huko.

basi kaa kazi hizo unaziona za kizembe, muoshee gari yake, mpelekee suit zake muhimu kwa cleaners, na usisahau kumkanda kanda mara moja moja
 
Excellent MJ1. You seem to be a good mama. Inasikitisha tu kusikia kuwa huyo jamaa amekutosa. Tulia mwombe MUNGU atakupa mume mzuri zaidi. Uliyoyasema hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwaonyesha wake zetu upendo wa kweli kwa kuwasaidia kazi mbalimbali nyumbani. Hata tendo la ndoa huandaliwa tangu asubuhi mnapoamka. Baba amka mapema andaa breakfast then kaeni na mamaa mle mnywe huku mmekanyagana miguu. Ukiwa kazini mpigie simu ya kuonyesha kumjali etc. Nakwambia muendapo kulala usiku mambo ni barabara hakuna mfano maana mama yuko tayari kwa vile kaandaliwa tangu asubuhi.
Men let us change.

...kaka ndoa yako changa wewe,... baada ya fungate wakiguswa utadhani wamegusishwa na barafu... wanafoka kwa nguvu zote "unanigusia nini wewee?!"

Ukimpigia simu kazini anaona unamchunga!
 
mbu mwanamke hakatai kuguswa hata sku moja hasa ikiwa unajua kugusa.

tatizo hapo mwanamke unamtarajia akufanyie kila kitu, keshachoka pale anataka kupumzika wwe ndo unaleta habari ya kugusa!

msaidie kazi za ndani uone kaa hatoanza kukugusa yeye
 
mbu...sio kupigishwa deki, unamsaidia mkeo
hakuna ubaya hpo hata kdogo, na ndio kuzidisha mapenzi yenyewe huko.

basi kaa kazi hizo unaziona za kizembe, muoshee gari yake, mpelekee suit zake muhimu kwa cleaners, na usisahau kumkanda kanda mara moja moja

...kwani haitoshi kumpeleka holiday, kumtoa outings, kujifanya unamsikiliza kumbe upo busy na Jamii forums nk? kumjali sio lazima kupiga deki jamani, aaah!

Kumkanda tena? kwani mjamzito yeye? anywe panadol zitampunguzia maumivu!
 
...kaka ndoa yako changa wewe,... baada ya fungate wakiguswa utadhani wamegusishwa na barafu... wanafoka kwa nguvu zote "unanigusia nini wewee?!"

Ukimpigia simu kazini anaona unamchunga!

Mbu ndugu yangu nina miaka 5 na miezi 3 sasa kwenye ndoa. Ndoa ni mbichi kila iitwapo leo. Nikimpigia simu mke wangu akiwa kazini huwa anafurahi hamna mfano, kwa nini? Kwa sababu tunaaminiana wala swala la kuchungana halimo akili mwetu.
 
...kwani haitoshi kumpeleka holiday, kumtoa outings, kujifanya unamsikiliza kumbe upo busy na Jamii forums nk? kumjali sio lazima kupiga deki jamani, aaah!

Kumkanda tena? kwani mjamzito yeye? anywe panadol zitampunguzia maumivu!
Mbu imagine mko wawili tu home na mkeo ina maana hamtasaidizana?
 
mbu mwanamke hakatai kuguswa hata sku moja hasa ikiwa unajua kugusa.

tatizo hapo mwanamke unamtarajia akufanyie kila kitu, keshachoka pale anataka kupumzika wwe ndo unaleta habari ya kugusa!

msaidie kazi za ndani uone kaa hatoanza kukugusa yeye

...nadhani kweli sijui kugusa, ...sipendi kugusa halafu mtu hapo hapo anataka muache shughuli zote 'mkalale',...Ukikataa ananuna, eti kwanini basi ulimgusa, huh!...
 
thanks kwa mliochangia na mnaoendelea, nashukuru pia nimegundua kuna wadau wa tegeta by night,zero,nyamachabes, fyatanga, kimara kwa mushi, usangule n.k....nitatoa ofa ya tubia tuwili siku moja ila kwa kuwa humu jf tuna hide id, basi usishangae utakapopata bia toka kwa anonymous

back 2 ze mada!
naomba nieleweke kwamba nia yangu si ku-display mfumo dume ule wa kizamani kama ilivyotafisiriwa na baadhi ya wachangiaji, binafsi huwa naupinga sana na mimi ni mfano mzuri wa wababa ambao huwa wanafanya yale ambayo nikijieleza hapa itabidi nitafutiwe mtaalamu wa ku-defuse malimbwata!huwa nayafanya mengi kwa nafasi yangu, lakini wajameni hivi kweli ni sahihi mama karudi nyumbani saa kumi jioni, fine anatakiwa kupimzika, dada kakaa na watoto na kuhangaikia nyumba tangu asubuhi hawampi hata nafasi ya kupumzika, wa shule wanarudi saa kumi na moja, mama unaamka kumdai dada chai, waliorudi shule nguo zao na maandalizi ya kesho, mama unademand chai ukiwa unakodolea macho luninga yako! Baba anarudi, dada huyu huyu anaacha alichokuwa anakifanya kukimbilia kufungua geti!anakupokea na kukukaribisha, mama bize kwenye luninga, dada bila kuambiwa anamletea baba chai, baada ya chai baba unaingia kwenye kazi za nyumbani na kumuacha mama akiendelea kutazama isidingo, saa mbili unarudi kuangalia taarifa ya habari, mama ...daadaaa vipi hicho chakula bado? unamdai mtoto notebook unakuta kuna msg ya jana toka shuleni, wee jana ulichelewa kazini umewakuta wamelala! ukiuliza mama jibu sijaiona, dada akisikia .....baba samahani niliona jana lakini nilisahau kukuambia, jana mama alikuwepo tangu saa tisa mchana! dozi ya dawa za watoto lazima uhakikishe umemuelekeza dada, hata kama kwa bahati mbaya hukuweza kumpeleka mtoto hosp, alipelekwa na mama kwa shingo upande! ukimwachia mama kama si kumpa kwa muda tofauti basi kampunguzia au kumuoverdose mtoto!!!mama huyu huyu hajui iliko shule wanakosoma wanae, hana hata contact moja ya mwalimu wa mwanae!! jamaaaaaaani baba huyu atashika mangapi!?bado 95% ya matumizi ya nyumbani lazima yatoke kwa baba!
kwa upande wa huyu dada, hivi huwa hawachoki? hawana haki ya kupumzika na kuthaminiwa? ukipropose kumuongezea hivyo vijisenti vyake utasikia ...aaah zinamtosha, kwanza nyingi sana (20,000/= hiyo!!)
Sasa seriously! acheni nitoe usghauri hapa maana huko kote tulikuwa tunaruka ruka tu maana Kilambi hakuwa amepersonalize hii ishu, ilikuwa too general. nw that we have a really problem at hand. i would say this.

It seems huyo bibie ni mvivu by nature, hii huwa ipo pia, kuna watu wamelelewa hawawezi kugusa kazi yeyote na wamezoea hivyo sasa akiwa mke na mama anajisahau zaidi esp akiwa na uwezo wa kumlipa maid anadhani hana tena reponsibility kwake. Inaniuma kusikia hata mwanae hawezi kumpleka hosp na kwamba hata watoto wakiumwa anamtegemea dada, thats too painful. kwani alijifunguaje huyu kwa kisu au naturally? maana kama anujua uchungu wa mwana hawezi kufanya haya.
I understand what you are going through esp na hizi tamthilia za siku hizi yani bandika bandua, akianza isidingo, taarifa ya habari, the storm over paradise (capital tv), second chance (itv) then anamalizia the storm (chanel ten) hiyo ni saa tano, seriously inatisha.
mbaya zaidi hata maendeleo ya mtoto shuleni hajali wakla kukagua madaftari na kujua mtoto anajifunza nini, anachezaga na kina nani, maneno gani mapaya anayajua, hii ni hatari tena sana, na hata mimi sikubaliani nayo.

Kuhusu dada kweli anachoka kama ndo hivyo anavyopelekeshwa, na ashukuru ana dada mzuri anajali kiasi hicho and she deserve a raise na promotion kwenye level ya undugu.

Ushauri
Siku mtoe out nendeni hata vacation one week end kwa upendo kabisa orodhesha haya yote ulotuambia hapa, na yeye aorodheshe kero zake zote, mdiscuss moja baada ya nyingine. muweke mpango mkakati (the way they call it in the jk govt) au strategic plan ya kusolve moja baada ya jingine. pangeni hata ratiba ya nani anatakiwa kuwakagua watoto everyday,leo baba, kesho mama, na piadada pale inapobidi,kubalianeni kuweka time nyingi home, kuhakikisha mna time ya kujua watoto wanajifunza nini shule au michezoni, maana mkijisahau mnaweza shtuka watoto washaanza ushoga. i will be back
 
Back
Top Bottom