'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.

Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.

***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.

NB: Graduate with A's not with AIDS
 
Back
Top Bottom