macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Hunijui, sikujui na wala hujui niko wapi na nafanya nini! Hudhani unaweza kuwa mjinga anayeongoza kwa dunaiani kwa muda uliokuwa unafikiria hivi kuhusu mimi? Angalia siku niliyojiunga JF halafu ujumlishe na kutoa.We maskini humfikii Manara kwa lolote. Pia jamaa anakojolea na amekojolea pazuri hususani pale kwa Rushayna. Mengine ni matatizo na changamoto zako binafsi.
Amka hapo kwa sister ako katafute hata kazi ya kuokota makopo kwani umri unakuenda na huna la maana ulilolofanya kama serikali ya CCMπ€£π ππππ
We maskini humuwezi manara kwa lolote. πππHunijui, sikujui na wala hujui niko wapi na nafanya nini! Hudhani unaweza kuwa mjinga anayeongoza kwa dunaiani kwa muda uliokuwa unafikiria hivi kuhusu mimi? Angalia siku niliyojiunga JF halafu ujumlishe na kutoa.
Mwambie Haji nampenda na nitampenda aje tu anioe ila sitaki maisha ya mtandaoni, apunguze mastarehe ya kitotoNipe nikupeπ
acha umbea boyAlikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu"
Manara..
Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyoView attachment 3300040
njoo pmMwambie Haji nampenda na nitampenda aje tu anioe ila sitaki maisha ya mtandaoni, apunguze mastarehe ya kitoto
Mimi ndio manara mwenyewe au unamtaka huyo mvulana?Ujumbe ulikuwa wa Mshana Jr tafadhali
Duuu,nimecheka sana,meno yamelewa sifa
Wapo walio oana wote zeru zeru wakazaa watoto wasiokuwa na shida ya uzeru zeru(albinism).isingekuwa m-bishi Bugatti ningemshauri aende atafute albinism wezake maofisi ya umma mana wako kibao
waendelee uzao wao....haikwepeki
Huyu member macho_mdiliko ni mtu mzima, sio nzuri kumvaa mtu na maneno yasiyostaha na hujui ni nani angalia vizuri id yakeWe maskini humfikii Manara kwa lolote. Pia jamaa anakojolea na amekojolea pazuri hususani pale kwa Rushayna. Mengine ni matatizo na changamoto zako binafsi.
Amka hapo kwa sister ako katafute hata kazi ya kuokota makopo kwani umri unakuenda na huna la maana ulilolofanya kama serikali ya CCMπ€£π ππππ
nikweli lakini albinism kwao ni endelevu haifutiki katika uzao huoWapo walio oana wote zeru zeru wakazaa watoto wasiokuwa na shida ya uzeru zeru(albinism)
Mtu mzima kwa nani? Unaujua umri wangu? Alafu kwani hakuna watu wazima maskini? Pamona na yote huo ndio ukweli kuwa macho_mdiliko ni maskini na hawezi mfikia Manara lakini pia ni kweli manara amekojolea sehemu nzuri hususani yule Rushyna na hata huyu aliyeachana naye sasa kuliko popote ambapo huyo mtu mzima amewahi kojolea kwenye maisha yake hata kwako ukimpea maana unamshobokea sana. πππHuyu member macho_mdiliko ni mtu mzima, sio nzuri kumvaa mtu na maneno yasiyostaha na hujui ni nani angalia vizuri id yake
Upo we maskini?πππnikweli lakini albinism kwao ni endelevu haifutiki katika uzao huo
umasikini siujui , niite kina , nakazia albinism ikiingia ndani ya familia ndobasi Tena miongo na karne imoUpo we maskini?πππ
Maandiko yalisema "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana naye" kama unahisi manara ni tajiri kuliko ID ambayo hata hujui ni nani anafanya nini, level ya maisha yake, dah! Pole una safari ndefu kama kweli manara ni tajiri kuliko mtu yeyote unayemfikiria.Mtu mzima kwa nani? Unaujua umri wangu? Alafu kwani hakuna watu wazima maskini? Pamona na yote huo ndio ukweli kuwa macho_mdiliko ni maskini na hawezi mfikia Manara lakini pia ni kweli manara amekojolea sehemu nzuri hususani yule Rushyna na hata huyu aliyeachana naye sasa kuliko popote ambapo huyo mtu mzima amewahi kojolea kwenye maisha yake hata kwako ukimpea maana unamshobokea sana. πππ
Hakuna tajiri wala mtu mwenye kipato cha maana anayeshinda JF na kufuatilia maisha ya watu.Maandiko yalisema "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana naye" kama unahisi manara ni tajiri kuliko ID ambayo hata hujui ni nani anafanya nini, level ya maisha yake, dah! Pole una safari ndefu kama kweli manara ni tajiri kuliko mtu yeyote unayemfikiria.
Sitokujibu tena