AD,
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye red. Lugha imegoma!
Aine unaona kwenye case kama hii laiti kama mzee wa watu angeandika wosia mapema hayo yote yasingetokea.Niliwahi kuona jirani yetu mmoja alipofariki tu yaani muda huo huo bila kulia wala huzununi yoyote watoto wakaanza kukimbilia chumbani kwake na mwenye funguo akazificha ikawa badala ya kuomboleza ni ugomvi wa mali yaani hadi aibu mzee alikuwa na magari ya kutosha yanafanya biashara mbalimbali na nyumba kadha wa kadha, ilisikitisha sana na hakuna aliyetegemea kwa kweli, hao aslili yao ni Waarabu koko probably angeandika wosia ingesaidia
Ngoja nihairishe kukurithisha ile hoteli kule Hawaii nimwambie lawyer abadilishe papers lolDaahhh samahani
Niliiandika kwa SWANGLISH lol
nway Prenuption agreement
Hii mara nyingi inatumika kwa watu
ambao wamakaribia kufunga pingu za maisha
wenye wanafunga ndoa lakini kila mtu anabaki
na asset s zake..
Sijui naandike wosia mapema nikurithishe ile hotel niliyojenga Hawaii
Yule First Born wetuNa ile ya Zanzibar unamwachia nani?
Mzee DC shikamoo
kwanza samahani kwa usumbufu mwingi
na pili nashukuru sana kwa nimejifunza mawili
matatu kuhusu ndoa kwenye ile thread..
Nway hapa nichotaka
kusemawatu wengi wenye mali nyingi
huwa wanachukua prenatu agreement..
hii huwa inasaidia kwa chochote kitakachotokea kwenye ndoa..
</p>hivi ni baba ndio anatakiwa aandike wosia?
hii issue ni sensitive kwa kweli.na sio wanaume pekee wanafanya mambo kwa siri,na wamama nasi tumo.unakuta mwanaume hataki kufanya maendeleo anafanya fashion show tu za mjini.ndoa yenyewe haisomeki kama ipo ama la.mmekutana kila mtu ana dreams zake,mmama anajiamulia kufanya vitu vyake kwa siri ili asikwamishwe.nimeshuhudia mmama kila akipata fedha anasema anataka kufanya kitu,mwanaume ataleta hata ndugu mgonjwa wa mbaali wamsaidie!in the end,hata sijui kwa kweli!ngoja kwanza...
Samora hiyo red kwa nchi hii sijui sheria zinasemaje ila kuna mwanasheria mmoja nitamuulizahivi hapo kwenye red.. panahusika nchi hii?
hivi hapo kwenye red.. panahusika nchi hii?
Samora hiyo red kwa nchi hii sijui sheria zinasemaje ila kuna mwanasheria mmoja nitamuuliza
DC kweli uzee dawa nashukuru kwa maelezo mazuri natumaini kujifunza mengiWakuu sheria iko wazi. Mnaweza kuandikisha vitu ambavyo mmechuma kabla ya ndoa na kula kiapo kuwa havitajumuishwa kwenye mali za ndoa. Pia mnaweza kuandika hata baadhi ya vitu mlivyochuma kwenye ndoa endapo mtakubaliana kuwa hamtaki vijumuishwe kwenye mali za ndoa.
Hata hivyo hayo hayazuii kurithishana hizo mali pale mnapoandika wosia.
Kama kuna wanasheria wanaweza kutuwekea vifungu vyenyewe vya sheria ya ndoa na kusahihisha kama nimekosa (fani za watu hizo)!!
hii issue ni sensitive kwa kweli.na sio wanaume pekee wanafanya mambo kwa siri,na wamama nasi tumo.unakuta mwanaume hataki kufanya maendeleo anafanya fashion show tu za mjini.ndoa yenyewe haisomeki kama ipo ama la.mmekutana kila mtu ana dreams zake,mmama anajiamulia kufanya vitu vyake kwa siri ili asikwamishwe.nimeshuhudia mmama kila akipata fedha anasema anataka kufanya kitu,mwanaume ataleta hata ndugu mgonjwa wa mbaali wamsaidie!in the end,hata sijui kwa kweli!ngoja kwanza...
i think she meant to say "makubaliano kabla ya ndoa" where mali, urithi na vitu vinavyofanana na hayo vinakua vimeainishwa na mara nyingi rich man au woman anabaki na mali alizochuma kabla au hata during the marriage timeAD,
Hebu fafanua kidogo hapo kwenye red. Lugha imegoma!
hivi ni baba ndio anatakiwa aandike wosia?
Hapana dada. Kwani wewe hujaandika?