Ndoa zetu na umiliki wa mali...kizungumkuti kingine!!

DC,

For the sake of continuity ya Familia pindi Baba anapotangulia mbele ya HAKI, ni vyema, wakati upo hai, kuendesha Familia kama mifumo ya computer - kule kuna kitu kinaitwa BCP = Business Continuity Plan - Maana yake ni kuwa, kama mfumo wa computer unaoutumia leo ukiharibika ghafla, basi ni lazima kuwe na uwepo wa mfumo mwingine (Backup) kwa ajili ya kuhakikisha shughuli zako zinaendelea kama kawaida...

Unapokuwa unamiliki Nyumba, hakikisha unamwezesha mwenzi kumiliki nyumba (hata kama ni vyumba viwili), unapomiliki shamba, hakikisha "My Wife" naye anamiliki ki-jishamba, e.t.c, e.t.c Na vyote vinavyomilikiwa na "My Wife" ni VYA KWAKE na siyo VYA KWENU.. In so doing, siku utakapotangulia mbele ya haki na Watoto uliozaa nje wakanyanyua vinywa vyao au ndugu zako, basi "My Wife" pamoja na watoto wa ndani ya ndoa watakuwa na "BCP"!

Vinginevyo, kama unaweza, kuwa mwaminifu na mbaya kwa extended family!

nimekupata kaka....but kuna sababu gani zimekufanya ucmjulishe kwamba umeshaandika?

Asha D, uko sahihi kabisa, lakini kama ni spender si unaweza kumrekebisha na kumwelewesha kwa utaratibu kwenye kitu gani cha muhimu na kipi sio cha muhimu, naamini kama mapenzi yapo, atakuelewa tu,,

will be back

so hamna haja ya wewe kuandika wosia coz maam tayari ana vyake na ka vyako chochote chaweza kutokea so wife acvitegemee kwa sana....Baba-E wewe ni kiboko aisee.

Asha D, uko sahihi kabisa, lakini kama ni spender si unaweza kumrekebisha na kumwelewesha kwa utaratibu kwenye kitu gani cha muhimu na kipi sio cha muhimu, naamini kama mapenzi yapo, atakuelewa tu,,

will be back

Hicho ndicho kitu ambacho wana confuse sana. Mtu kukupenda nawe kumpenda haina maana manaendana au mtasikilizana, Cku za mwanzo sawa lakini eventually kila mtu atarudi katika ile natural self, Mtu ambae kweli kabisa ni spender ukimwelekeza atapunguza lakini hataacha - na changes kubwa itakua ataacha kabisa kukuonesha ni vitu gani kanunua au kufanya.

KWANINI UNAWAZAA NJE IKIWA HAUWATAMBUA KAMA NI WARITHI KATIKA MALI YAKO?????
SIJAKUELEWA KABISA....
KWANINI USITENGEE URITHI WAO MAPEMA ILI HATA UKIFA WASIENDE KUNYANYUA VINYWA VYAO KWA MKEO???,

KWENYE KUZAA WATOTO WA NJE UNAWATAMBUA LAKIN KWENYE MALI mmmh!!
UNAMTAMBUA MKEO NA WATOTO WAKO TU???

Aha aha nnunu nimejenga hoteli mbili moja Zanzibar nyingine Bagamoyo kwahiyo wanataka niwarithishe mapema ndio maana nimestuka

Mali nini bwana mbele ya kupenda???!!! warithishe tu hata kama ukifa ,
wakitumia hotel hizo hizo kula raha na wapenzi wao wapya...lol

Asante, nami nimegundua hilo - saizi namvutia week nzima, leo jioni najipanga kufuta yoote kwa maandalizi moto moto.

GOOD, tena ukumbuke yote uliyofundishwa na ,
kungwi wako changanya na ubunifu wako .....lol,
ili hasira zote zimwishe ....lol

BE,

Naomba tuache kujidannya. Mali za ndoa ni kama shea kwenye kampuni. Wewe una 50% na Mama BE anazo 50% zake. Hiyo haijalishi zimeandikwa kwa jina la nani. Cha msingi ni mwanandoa kutoa uthibitisho beyond reasonable doubt kwamba hiyo mali imechumwa wakiwa kwenye ndoa. Full stop.

Halafu watoto wa nje ya ndoa hawana chao. Kisheria hawaruhusiwi kurithi kitu..Ila kwenye wosia mhusika anaweza kuwamegea kidogo katika shea yake!

umejijibu mwenyewe chief,kwenye mapenzi ya ukweli...it is very simple.sasa kama unahitaji hela ya kulea house b (kwa wanaume especially), ama kuna extra unexplained income (kwa kinamama),uwazi kwenye mambo ya hela inakuwa ngumu sana.it is very easy kama mnapendana kikweli na kuaminiana,otherwise kama tuko comfortable wote wawili hakuna haja ya kuogopana kuanzisha issue ya mirathi.

GOOD, tena ukumbuke yote uliyofundishwa na ,
kungwi wako changanya na ubunifu wako .....lol,
ili hasira zote zimwishe ....lol
Ahaa ahaa nyie mnanichekesha kweli nnunu unamsema mwenzako wewe je?

GOOD, tena ukumbuke yote uliyofundishwa na ,
kungwi wako changanya na ubunifu wako .....lol,
ili hasira zote zimwishe ....lol

Ndio problem kila siku na apply nilofundishwa, mmmh leo i think itabidi creativity icheze nafasi yake..

utakuwa umetenda wema mkubwa sana,

na ni nadra kutolewa na watu na hasa wa karne ,

hii tuliojaa tamaa za mali hata tusizopata kwa jasho letu.

Lakin sometimes kusema ni rahisi kuliko kutenda....lol

trust me,awazavyo mtu ndivyo alivyo.ni kujiwekea principles za maisha tu.mahali ambapo naona nastahili front seat patachimbika or else nitaing'oa siti nitoke nayo.pale ambapo sistahili i will happily take the back bench,na nikialikwa mbele nitakataa with a smile.loyal frnds still exist banaa

umefanya vizuri sana mkuu kumlinda mkeo na wanao pia.lakini bado nadhani kuna haja ya kuwa wazi nae,ili awe comfortable na kukuamini zaidi kwa kujua unamthamini kama ubavu wako.nafikiri ukiwa wazi juu ya mirathi itasaidia yy kuendelea kufanya kwa moyo na bidii zaidi kuendeleza mali zenu.
sina hakika ila nadhani kwa familia ambazo labda wote wawili mna kipato sambamba mirathi ingeongelea pia na nini kifanyike mama akitangulia mbele za haki.wakati mwingine familia ya mke inakuwa inajisikia kama mtoto wao ndo anaendesha familia kwa kipato chake,kitu ambacho sio sawa.

Hata ungekuwa wazi vipi, kisheria wosia hautakiwi kuonekana kwa beneficiaries wote (sina hakika kama nimekosea ila kuna kitu kama hicho kwenye sheria), kwa hiyo haiwezekana mimi kumuonesha wosia. Ila contents zote nilishamwambia verbally.

Halafu mimi siwezi kuandika wosia wake...Yeye ndiye anayetakiwa kuandikia wosia unaohusu mali zake (ambazo ni 50% ya meli zetu za ndoa). Naongea naye sana kuhusu umuhimu wa kuandika wosia na siwezi kufanya zaidi ya hapo kwani nitaonekana kama nataka kujua contents zake!

Dah, You are fast ...i love it

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…