...jamaa yangu alianza kujenga kwenye kiwanja cha mkewe kwa makubaliano jengo litakuwa kwa faida ya watoto.
Siku ya siku, mke kacharuka 'hakutaka kusikia la muadhini wala mnadi sala!' kaamua kukiuza kiwanja!
Mume alipomuuliza vipi kuhusu jengo ambalo tayari walishapandisha kozi tosha za ukuta...mke akajibu
"kama unataka ondoa matofali yako!"
Haya mambo (ya mgawanyo wa mali) hata mkiyafanya kwa makubaliano ya faida ya watoto hapo baadae, pia yanategemeana na akili timamu za wazazi, la sivyo ni kujitafutia upungufu wa siku za kuishi hapa duniani.
Wote walikuwa wajinga na labda hawakujua kuwa tayari uhusiano wao una mashaka!
Hakuna mali binafsi ya 100% kwenye ndoa. Kwa hiyo hicho kiwanja na hata hilo boma halikwa la mke wala mume bali lao wote. Huyo mwanamke alikuwa hajui analolifanya...ni ubabe usio na maana!
Nyamayao na wengine,
Naomba kuweka sawa kwamba joint account si ya mume. Ni ya mke na mume wote kwa pamoja. Mnaweza kuwa na cards mbili na mtu akawa na uwezo wa kuchukua pesa kwa wakati wake. Ila kwa walio wengi card anakaa nayo baba lakini kila akitoa pesa lazima amueleze mkewe. Binafsi siupendi utaratibu huu. Sisi kila mtu ana account zake lakini tunajua password na tunaweza kuchukuliana pesa. Ila nikitoa au yeye akitoa pesa si lazima kupeana maelezo. We are independent and yet dependent entities!
Mzee DC shikamoo
kwanza samahani kwa usumbufu mwingi
na pili nashukuru sana kwa nimejifunza mawili
matatu kuhusu ndoa kwenye ile thread..
Nway hapa nichotaka
kusemawatu wengi wenye mali nyingi
huwa wanachukua prenatu agreement..
hii huwa inasaidia kwa chochote kitakachotokea kwenye ndoa..
Mwenzangu mimi hata pichu nanunuliwa lol... manyumba yametofautiana, labda nipite madukani ninunue vitu vya nyumbani tena vidogovidogo na vishoping vya watoto,na yeye zawadi za hapa na pale, joint ipo ila inajazwa na mtu mmoja hivi kumbe mimi nina tabia mbaya sana. Big up nyumba kubwa.wanawake wengine kama mimi kwa kweli tunahitaji kubadilika ila sijui naanzia wapi.Tha is exactly what I mean. Kuwa na joint account mnakuwa na kadi mbili. Kuwa na joint account hakukufanyi ukose uhuru wa kutumia pesa hata kusaidia ndugu if needed. Mfano mumeo amepata ajali kafa na ana 10 million bank, kama una joint account you can easily access the money. But if it is not joint ndugu utasubili a decade mpaka mirathi isomwe.
Na mimi huwa nashangaa. Nina ndugu zangu nao wanapinga joint account. lakini maisha wanayoishi hayana tofauti na yangu kwani wanashare matumizi almost 50%. Utasikia mimi nanunua chakula ndani, yeye analipa school fees. Utasikia sina ela si unajua tunajenga. So what's the difference of having two separate accounts and joint account if you still do joint purchases and expenditures.
Kama mambo yataenda ndivyo sivyo siku za usoni, si mnaseparate accounts? Kwanza ukiangalia sana most of us hiyo balance tulonayo siyo kubwa kiivyo mpaka uogope kushare. Mishahara yenyewe ya kibongo bongo ukisave sana 1 m ndo ikutoe roho.
Nyamayao na wengine,
Naomba kuweka sawa kwamba joint account si ya mume. Ni ya mke na mume wote kwa pamoja. Mnaweza kuwa na cards mbili na mtu akawa na uwezo wa kuchukua pesa kwa wakati wake. Ila kwa walio wengi card anakaa nayo baba lakini kila akitoa pesa lazima amueleze mkewe. Binafsi siupendi utaratibu huu. Sisi kila mtu ana account zake lakini tunajua password na tunaweza kuchukuliana pesa. Ila nikitoa au yeye akitoa pesa si lazima kupeana maelezo. We are independent and yet dependent entities!
Wote walikuwa wajinga na labda hawakujua kuwa tayari uhusiano wao una mashaka!
Hakuna mali binafsi ya 100% kwenye ndoa. Kwa hiyo hicho kiwanja na hata hilo boma halikwa la mke wala mume bali lao wote. Huyo mwanamke alikuwa hajui analolifanya...ni ubabe usio na maana!
...mnh, ujinga wa mume ni upi hapo Mkuu?
mimi sina mchango nimeamua kuwa kapera milele japo nina watoto na wanawake tofaouti,ni shunghuli nzito lakini nitafika tuuu
Tha is exactly what I mean. Kuwa na joint account mnakuwa na kadi mbili. Kuwa na joint account hakukufanyi ukose uhuru wa kutumia pesa hata kusaidia ndugu if needed. Mfano mumeo amepata ajali kafa na ana 10 million bank, kama una joint account you can easily access the money. But if it is not joint ndugu utasubili a decade mpaka mirathi isomwe.
Na mimi huwa nashangaa. Nina ndugu zangu nao wanapinga joint account. lakini maisha wanayoishi hayana tofauti na yangu kwani wanashare matumizi almost 50%. Utasikia mimi nanunua chakula ndani, yeye analipa school fees. Utasikia sina ela si unajua tunajenga. So what's the difference of having two separate accounts and joint account if you still do joint purchases and expenditures.
Kama mambo yataenda ndivyo sivyo siku za usoni, si mnaseparate accounts? Kwanza ukiangalia sana most of us hiyo balance tulonayo siyo kubwa kiivyo mpaka uogope kushare. Mishahara yenyewe ya kibongo bongo ukisave sana 1 m ndo ikutoe roho.
hahahaha hili lyfe tamu kweli, kila mtu ana vimbwanga vyake.
Mama bado unasherehekea muungano tym to slp ,gnite
Halafu kitu kingine DC hatuna hulka ya kuandika wosia mapema tunasubiri pale tunapokaribia kufa au pale ambapo tupo mahatuti pengine unakuta unawaandikia wosia wakiisiajua watakusumbua uwaagawie mapema pia unaweza kukuta ndugu nao wako interested na mali zako
bado hujauona? angesoma alama za nyakati hiyo pesa wangenunulia kiwanja chao kipya cha kuanzia maisha yao ya ndoa....