Mimi wamenipanga na ndoa yangu SINGIDA(V) naenda kumuoa tu
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.
Mimi wamenipanga na ndoa yangu SINGIDA(V) naenda kumuoa tu
We nae umezidi aaghrrrrrrrr!!!!!
kila thread upo tu na hili swali lako si uende ukapaone?
wewe ni SHE or HE
kama huna cha kujibu pita kimya kimyaa
ushauri tuu