Ndoa zetu za chuo kikuu na ajira mpya za waalimu

Ndoa zetu za chuo kikuu na ajira mpya za waalimu

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nauliza kua zile ndoa za huku vyuoni tamisemi imezijali au ndo zimevunjwa?tunaomba mrejesho mana mapenzi yalio hapa chuo kikuu utazani wanapangwa shule moja
 
Kwkwkwkwk mke katupiwa mtwara ndani ndani huko hata network mawazo na mume katupiwa kagera ndaniiiiii huko inashika zain tena mara moja kw wiki eeeeh!lazima wanakijj wajipatie chakula hapo no way

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hahahaha! Wanaopendana kweli watavumiliana wakipata misharaha miwili mitatu watafute vyeti vya ndoa waombe uhamisho wafuatane tu
 
Eti Musoma mjini pakoje kimiundombinu na mzunguko wa hela me niko Arusha.
 
Mimi wamenipanga na ndoa yangu SINGIDA(V) naenda kumuoa tu

Ukija tutawatengenisha vijiji mkae mbalimbali, na hata mkikaa pamoja bado wenye vyeo na hela zao wanaweza kupiga tu. Kwa kifupi mwanamke uliyesoma naye darasa moja sio size yako achana naye atakupa pressure ya bure.
 
Kweli kua mkisoma pamoja hampendani?
 
Back
Top Bottom