father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
wazee kama hawa wanajitafutia pressure za ziada maana kifaa kama hiki lazima masela wakinyemelee.....................!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....hiki kibabu nacho kimepata wapi opportunity hizi rare?...aarrrrrgghh!
Hakuna mapenzi ya kutoka rohoni hapo tusidanganyane jamani...Huyo binti hapo kafuata mshiko tu! Lazima hicho kibabu kina pesa ya kufa mtu!
Unaweza kuta kina mshiko wa kufa mtu!
Kwa tafsiri ya kikweli ya ndoa hao watu ni perfect couple!..Cha msingi kama wamekubaliana kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha sioni shida!...Mambo ya :A S 8:mtarimbo, ...:A S 8:fedha ya kufa mtu...:A S 8:sura etc ni yenu!
Sura ya bwana harusi imenifanya niumwe macho duh!!!!!!
Nashindwa kuelewa iwapo huyu dada kapata mume ama huyu mzee mzima kapata mke. Je watoto watafanana na baba ama mama. Suala la uchaguzi ni muhimu usije pata watoto hata hawawezi shiriki Miss Mtaa
![]()
Nashindwa kuelewa iwapo huyu dada kapata mume ama huyu mzee mzima kapata mke. Je watoto watafanana na baba ama mama. Suala la uchaguzi ni muhimu usije pata watoto hata hawawezi shiriki Miss Mtaa
![]()
Huyo anataka awakoseshe wanawe raha tu, labda asizae! Mwanamke unatakiwa uchague vizuri hata mtoto atakuja kukusifia kwamba kweli nina mama mwenye akili, sio dizaini hii.
Rev Masanilo asante kwa photo shop yako, I was almost taken in.Nashindwa kuelewa iwapo huyu dada kapata mume ama huyu mzee mzima kapata mke. Je watoto watafanana na baba ama mama. Suala la uchaguzi ni muhimu usije pata watoto hata hawawezi shiriki Miss Mtaa
![]()
Lakini hiyo Da Sophy si inawezekana tu kwa wanawake, kama ni watoto unawazalisha nje,hapo kwa jamaa unatafuna pesa tu!
Nashindwa kuelewa iwapo huyu dada kapata mume ama huyu mzee mzima kapata mke. Je watoto watafanana na baba ama mama. Suala la uchaguzi ni muhimu usije pata watoto hata hawawezi shiriki Miss Mtaa
![]()