Ndoa Zingine mmmhhh


Sawa Da Sophy, lakini mmmmh!nakuwa na wasiwasi kwa maisha ya sasa hivi!ndoa nyingi unakuta kama kuna watoto wanne basi mmoja ni wa nje!Anyway, akina mama ndo wanajua siri ya mambo hayo, ukiwauliza sana watakwambia kuwa kuna sababu za msingi za kufanya hivyo!
 
Huyo anataka awakoseshe wanawe raha tu, labda asizae! Mwanamke unatakiwa uchague vizuri hata mtoto atakuja kukusifia kwamba kweli nina mama mwenye akili, sio dizaini hii.

Aaaah Oook......!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…