K kitero JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 563 Reaction score 109 Apr 17, 2012 #1 Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 867 Apr 17, 2012 #2 Kuoa/kuolewa kuna sababu nyingi sana, mojawapo kubwa sana ni agizo la Mungu enendeni duaniani mkazaliane na kuujaza ulimwengu.
Kuoa/kuolewa kuna sababu nyingi sana, mojawapo kubwa sana ni agizo la Mungu enendeni duaniani mkazaliane na kuujaza ulimwengu.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Apr 17, 2012 #3 Ngoja nije!
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 588 Apr 17, 2012 #4 Umri muafaka kwa mvulana ni wastani wa miaka 30. Umri muafaka kwa msichana ni wastani wa miaka 26.
K kabye JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 355 Reaction score 39 Apr 17, 2012 #5 1. chamuimu both sides nilazima muwe mumejipanga kwakiasi fulani {kiamaisha}, au mjo awe yupo powa kimaisha itakuwa poa. 2. umli pia unamata mukiwa bado wado sana mtasumbuwana sana. 3. wadau kwenu........
1. chamuimu both sides nilazima muwe mumejipanga kwakiasi fulani {kiamaisha}, au mjo awe yupo powa kimaisha itakuwa poa. 2. umli pia unamata mukiwa bado wado sana mtasumbuwana sana. 3. wadau kwenu........
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Apr 17, 2012 #6 Hakuna umri maalum, when ready physically and mentally.