Ndoa

Ndoa

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
109
Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
 
Kuoa/kuolewa kuna sababu nyingi sana, mojawapo kubwa sana ni agizo la Mungu enendeni duaniani mkazaliane na kuujaza ulimwengu.
 
Umri muafaka kwa mvulana ni wastani wa miaka 30.
Umri muafaka kwa msichana ni wastani wa miaka 26.
 
1. chamuimu both sides nilazima muwe mumejipanga kwakiasi fulani {kiamaisha}, au mjo awe yupo powa kimaisha itakuwa poa.

2. umli pia unamata mukiwa bado wado sana mtasumbuwana sana.

3. wadau kwenu........
 
Hakuna umri maalum, when ready physically and mentally.
 
Back
Top Bottom