JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Majaji wote watatu wamempa ushindi Kiduku kwa Pointi 98-92, 98-92, 97-93 licha ya mpinzani wake huyo ambaye ni raia wa Georgia kuonesha upinzani mkali.
Baada ya pambano hilo, Kiduku amesema mpinzani wake alikuwa mzuri na hiyo ilimlazimisha abadili staili ya upiganaji wake na ndio maana wamefika hadi Raundi ya 10.