AJ amalizane kwanza na Andy Ruiz 'Chibonge' kabla ya kumfikiria tena Wilder, akipigwa tena ndo kwisha habari yakeAJ mtu mwingine mzee hayo maneno na vijembe wanavyotupiana ni mapromoter wanataka watengeneze pesa katika pambano lao liwelamvuto na ndio maana wanakwepana kwepana tu.
Wilder ana zero skills, anategemea 1 KO punch. Hakuna aliyewahi kupigana naye hajaenda chini, lengo lake ni moja tu aingiapo ulingoni ni kukuKO, maana anajijua kubox haweziNiliangalia mapambano ya Wilder, no skills, no technic, no head movement, he just goes for the knockout.
He is a knockout machine.
Kuhusu chin na ana stronger chin vile vile. So Ortiz kazi ni kwake.
Ortiz is good, jabs, skills isipokua sioni kama anaweza vurugu na sharpness ya Wilder. All said hata Joshua tulidhani atashinda kilichomkuta hadi leo haandikwi kama zamani.
Wilder ni George Foreman wa kizazi chetuWilder ana zero skills, anategemea 1 KO punch. Hakuna aliyewahi kupigana naye hajaenda chini, lengo lake ni moja tu aingiapo ulingoni ni kukuKO, maana anajijua kubox hawezi
Mzee utani wa kifo sasa huoMwankinyo aje apambane na wilder
Kuna pambano Wilder alimpiga mtu ngumi mkono wake ukateguka, at that point bondia inabidi akaushe awe kashindwa kwa TKO au Disqualification, jamaa hakustop na mkono ulioteguka akaendelea kuutumia.Mwankinyo aje apambane na wilder
Pambo hili nahisi litakuwa gumu sana hasa ukizingatia rekodi ya wote wawili - Wilder & Ortiz.Ortiz alijitaidi sana pambano la kwanza lakini alikalishwa.namkubali sana Wilder na atanikalishia Tena ortiz
AJWho is?[emoji38]
AJ angekuwa ni mmarekani angekuwa bondia mkubwa sana zaidi ya sasa watu wanavyomchukulia.Si ajabu Ortiz akashinda, jamaa naye ni mnyama, pambano la kwanza nusura amkalishe Wilder kwa KO, refa ikabidi ambebe amuongezee muda wa kurecover baada ya kengele. Sema Wilder anajua kuusoma mchezo, rematch anaweza kummaliza within three rounds
AJ alikuwa na wasi wasi sana juu yalile pambano alisema mwalimu wake hofu ndio ilimfanya AJ apoteze pambano.AJ amalizane kwanza na Andy Ruiz 'Chibonge' kabla ya kumfikiria tena Wilder, akipigwa tena ndo kwisha habari yake
Sijui kama wataoneshaTBC wataonyesha??
MTANANGE NI SAA NGAP