NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

Hii match nasikia inarudiwa December mwaka huu
AJ amalizane kwanza na Andy Ruiz 'Chibonge' kabla ya kumfikiria tena Wilder, akipigwa tena ndo kwisha habari yake
 
Updates kwa anayeangalia, mi nilikuwa nategemea cable kumbe hawaonyeshi
 
IMG_4268.JPG
 
Wilder ndio anaingia uwanjani sasa...

Ila highlights za Ortiz ni hatari, jamaa inaonekana ni muuwaji...
 
Back
Top Bottom