Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Hii match nasikia inarudiwa December mwaka huu
AJ amalizane kwanza na Andy Ruiz 'Chibonge' kabla ya kumfikiria tena Wilder, akipigwa tena ndo kwisha habari yake