NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

Wilder akutane na mshindi kati ya Ruiz au bishooo Aj ili afungie mikanda yote kabatini.nimefrai sana kwa ushindi wake.ngumi jiweee
Andy Ruiz na AJ wote hawamuwezi King Kong Luis Ortiz.

Wilder anawakalisha wote.
 
Wilder akutane na mshindi kati ya Ruiz au bishooo Aj ili afungie mikanda yote kabatini.nimefrai sana kwa ushindi wake.ngumi jiweee
Anamalizana na Fury kwanza
 
Kesho alfajiri tutashuhudia pambano kubwa la uzito wa juu kati ya Deontay Wilder 'The Bronze Bomber' na Luis Ortiz 'KingKong', hili ni pambano la marudiano baada ya lile la awali liliyofanyika mapema mwaka jana, ambapo Wilder alishinda kwa KO (kwa tabu sana). Endapo Wilder atashinda ataungana na magwiji wengine kama Muhammad Ali kwakuwa atakuwa ameutetea mkanda wake wa WCB kwa mara ya 10 mfululizo, rekodi za hawa wawili ni kama zinavyoonekana hapo pichani...View attachment 1269718View attachment 1269719
Mabondia wa heavy weight kwa sasa ni aibu tupu, namiss sana ile crop ya akina Lennox Lewis, Klitcho, Evander, Kassim Rahman etc.
 
Well said, huyu jamaa no skills ila ana ngumivya kulia hatari sana, ikikupata lazima ulambe chini pia ana pumzi sana
Wilder ana zero skills, anategemea 1 KO punch. Hakuna aliyewahi kupigana naye hajaenda chini, lengo lake ni moja tu aingiapo ulingoni ni kukuKO, maana anajijua kubox hawezi
 
Wilder kupigana hataki yeye anataka kumaliza pamabano tu.
Ndo maan alikuwa anavuta vuta round, ili biashara isi haribike.

Huyu ni Tyson wa enzi hizi.

Nakumbuka Mada maugo aliwahi kandika mtu konde moja tu, pambano likaishia hapo.
 
Back
Top Bottom