Ndondi: Mtanzania Hassan Mwakinyo amchapa kwa TKO Sergio Gonzalez kutoka Argentina

Ndondi: Mtanzania Hassan Mwakinyo amchapa kwa TKO Sergio Gonzalez kutoka Argentina

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Pambano linafanyika Kenya katika ukumbi wa KCC liko live KBC baina ya Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Rodriguez Wa Argentina
-------
Bondia Mtanzania amefanikiwa kumpiga kwa TKO mpinzani wake katika round ya 5.
 
Huyu mwakinyo si mlimsifiaga sijui ataenda kupigana na mayweather...wabongo bwana
 
Pambano liko 50/50 hapo mwakinyo anaonekana yuko vizuri zaidi..roundi ni ya tatu sasa.
 
Huyu muagentina anategeshea upper cut mwakinyo ni kama vile anachoka hivi..!!
 
Ameshinda kitoto sana sijapenda next time akaze kamba.
20190323_223303.jpeg
20190323_223306.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom