Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Promotion na kuiboresha. Kuondoa uhuni pia. Refa ilimlazimu awe na kisu mfukoni kujihamiusiongee kitu usichokijua ndondo zimeanza muda mrefu ksabla hata ya clouds kuanzishwa ni heri kunyamaza kama kitu hukijui wachezaji wa simba na yanga na timu nyingine kabla ya kujiunga na timu hizo walikuwa na timu zao za mitaani baada ya ligi kuisha au wakati wa mapumziko walikuwa wanarudi kucheza timu zao za mitaani timu mojawapo ni avenger sijui kama unaifahamu wakina shafii dauda walichofanya ni promotion tu
Sumu gani?Usiweke sumu ya siasa kwenye mpira.