Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bujibuji hujaeleweka, siyo wote tuna muda wa kufuatilia cloud, hebu funguka kidogo, je wanaenda uwanjani au ni kipindi cha redio??Ndondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka
Mashindano haya yamegeuka kuwa mashindano ya uchawi hadharani na sio ya soka tena.
Watu wanafanya uchawi mchana kweupeeee.
Kuna machifu, wengine huingia hadi na ungo uwanjani.
Matukio ya kuvunja Nazi, mayai, Kupandisha mashetani nk vimekuwa ni vitu Vya kawaida mno.
Kwakweli mashindano haya yabadilishwe jina na kuwa Ndondo uchawi cup
mzaha mzaha hutumbua usahaNi mashabiki tu mbwembwe....hamna lolote
yalisha anza, yanaendeleaYanaanza lini haya mashindano? Au yalishaanza?
Ndondo cup inakuwa maarufu sana kwa sababu inatangazwa Na kunadiwa sana.!Kuelewa watanzania tulivyo basi fuatilia ndo ndo cup
hakuna quality ya viwanja
kiwango cha mpira duni
lakini shindani linazidi kuwa marufu
Okay mkuuyalisha anza, yanaendelea
Ndondo cup inakuwa maarufu sana kwa sababu inatangazwa Na kunadiwa sana.!
...ndio maana ya ndondo cup.unataka ndondo wachezee kwenye kapeti?Kuelewa watanzania tulivyo basi fuatilia ndo ndo cup
hakuna quality ya viwanja
kiwango cha mpira duni
lakini shindani linazidi kuwa marufu
...ndio maana ya ndondo cup.unataka ndondo wachezee kwenye kapeti?
Kweli mkuu yaani soka lao liko chini sana...nadhani wangeenda maeneo ya kilosa au ifakara au TPC wangeweza kupata vipaji vya soka hasa lakini hizi timu za ndondo ni chovu sana kulinganisha na umaarufu wanaopewaKuelewa watanzania tulivyo basi fuatilia ndo ndo cup
hakuna quality ya viwanja
kiwango cha mpira duni
lakini shindani linazidi kuwa marufu