myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
hizo ni mbwembwe ili kuleta burudani, hakuna uchawi wa hadharani/ uwanjani/ mchana!!Ni mashabiki tu mbwembwe....hamna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo ni mbwembwe ili kuleta burudani, hakuna uchawi wa hadharani/ uwanjani/ mchana!!Ni mashabiki tu mbwembwe....hamna lolote
hizo ni mbwembwe ili kuleta burudani, hakuna uchawi wa hadharani/ uwanjani/ mchana!!Ndondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka
Mashindano haya yamegeuka kuwa mashindano ya uchawi hadharani na sio ya soka tena.
Watu wanafanya uchawi mchana kweupeeee.
Kuna machifu, wengine huingia hadi na ungo uwanjani.
Matukio ya kuvunja Nazi, mayai, Kupandisha mashetani nk vimekuwa ni vitu Vya kawaida mno.
Kwakweli mashindano haya yabadilishwe jina na kuwa Ndondo uchawi cup
Kila kitu lazima ujue faida yake
sasa faida ya ndondo ni nini kama quality sio muhimu?
kama standards ni za chini?
Naam kwa wote tulocheza mpira huweza shingaa hili shindano. Kwa wachezaji ni sehemu ya kipato na udambwidambwi, kwa watazamaji hii ni sehemu ya burudani, kwa watu wa mtaani timu inapotoka ni sehemu ya kuonyeshana vituko na ubabe. Hapo ni fursa ya kuwaona wakongwe na chipukizi wanavyotambiana jinsi ya kutandaza na kulitawala soka. Usiulize kwa nini mchezaji mkali anapata moto anapoadhiriwa na mtu asiye na jina! Ndondo ina raha zake! Hizi ni raha za uswahilini, waacheni wafanye yao.Kabla ya yote kwanza maudhui ya jina. Ndondo cup, binafsi nafarijika kama ubora najua upo mbeleni. Ni Jambo la kupongeza
Duuuuu mbona huko burudani! Bujibuji nitafutie Mtu mzito jichawi na wengine tukaburudike[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ntaingia na style yaNdondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka
Mashindano haya yamegeuka kuwa mashindano ya uchawi hadharani na sio ya soka tena.
Watu wanafanya uchawi mchana kweupeeee.
Kuna machifu, wengine huingia hadi na ungo uwanjani.
Matukio ya kuvunja Nazi, mayai, Kupandisha mashetani nk vimekuwa ni vitu Vya kawaida mno.
Kwakweli mashindano haya yabadilishwe jina na kuwa Ndondo uchawi cup
Simba wakamfufue Bamchawi ili washiriki. Taratibu wamatopeni wanagundua mpira ni sayansi. Ajiri kocha mzuri, mpe nafasi asajili wachezaji then subiri matokeo.Hayo mashindano yangeitwa ndondocha cup ili yanga nao washiriki
haa bos unanitia aibu.. hii ni street game competition ni kama utamaduni wa mpira wa kitaani...
hata marekani kuna street basketball.. ambayo mashindano yanafanyika kwenye viwanja vya mtaani.. ni vile wanavyochezea watoto au maskini au mtu yeyote kitaa anacheza kila siku...
hii ni ku show love for the game...
na hata kina kobe bryant wanaendaga street games... na wanacheza kwa furaha tele...
juzi kuna wacheza nba waliozaliwa greece walikuwa kwao athens kwenye street game open court na kumbu kumbu tu za utotoni...
nigeria joseph yobo everton super star alikuwa anacheza sana mpira wa mtaani akienda likizo lagos na aba...
yeye akawa anasema ana enjoy mpira wa mtaani sabab anaupenda... vituko vya mashabiki na mikwara ya uchawi... wakat kiuhalisia haipo ni kunogesha mchezo tu....
huwez ukachezesha mashindano ya ndondo kwenye carper au uwanja mzuri kama taifa.. yanakosa uhalisia
Kuelewa watanzania tulivyo basi fuatilia ndo ndo cup
hakuna quality ya viwanja
kiwango cha mpira duni
lakini shindani linazidi kuwa marufu
Kweli kabisa.still hai make sense
..mwaka huu niliamua kwenda kuishuhudia nijionee kinachojiri....Stree games unazoziongelea wewe hazipati attention kama hii
hata kabla ya ndondo kulikuwa na makombe ya mbuzi mengi tu
je Skysports wanatangaza street games? au ESPN wanatangaza street games live?
Sisi hii ndondo cup ni kubwa kuliko mashindano mengi ambayo ni rasmi
sio street games tena....yanatangazwa kama serious competitions huku hayana yanachoongeza...
quality-wise ..
..mwaka huu niliamua kwenda kuishuhudia nijionee kinachojiri....
Nilichobaini.......
...Wakazi wengi wa maeneo husika wanayapenda sana mashindano haya kama sehemu ya burudani..
...Wafanyabiashara ndogondogo,wachuuzi,bodaboda na waendesha bajaji wananufaika sana kiuchumi na mashindano haya maana biashara zao zinatoka si kidogo(kumbuka mechi hizi zinaingiza watu wengi kuliko hata baadhi ya mechi za ligi kuu)..
...zinareflect maisha halisi ya watu wengi wa kipato cha chini katika suala la michezo,hususani soka..
..vipo vipaji kadhaa,si tu kwenye soka,bali pia waimbaji na wacheza dance/ngoma...
...hii ni marketing strategy ya CMG(CLOUDS MEDIA GROUP) kuteka soko la wapenda soka wa uswazi,na ni fursa ya wadhamini/wafadhili kujitangaza(mfno Dk.Mwaka)..
...Donge Nono na zawadi mbalimbali zitolewazo si haba,kwa namna moja timu husika hufaidika..(Nadhani Zawadi kwa mshindi ni zaidi ya TZS 10M,SINA UHAKIKA SANA)..
kasoro nilizobaini...
....Uuzwaji na Uvutaji bangi holela, si kwa vijana wa kiume tu,wazee wa makamo mpaka mabinti wadogo,tena wakati mwingine mbele ya askari polisi(hilo nimeshuhudia kwa macho yangu).Kuna sehemu nilikaa,nikajikuta nyuzi 360 nimezungukwa na wavutaji bangi..
...Usalama ni mdogo sana,maana kuna vijana wakihuni wanaingia na visu nje nje nawala hawaoini haya kuvionesha...
..hali ya viwanja ni ile ile,na wala sioni jitahada madhubuti kuboreshwa(pengine kuleta uhalisia wa mazingira ya kiswazi)..
.
Acha uchawi mkuu,Ndondo Cup ni mashindano yanayoandaliwa na Clouds FM kupitia kipindi chao cha michezo cha Sports Extra kinachoruka hewani kuanzia Saa Tatu usiku hadi Saa nne na kudhaminiwa na Dr. Mwaka
Mashindano haya yamegeuka kuwa mashindano ya uchawi hadharani na sio ya soka tena.
Watu wanafanya uchawi mchana kweupeeee.
Kuna machifu, wengine huingia hadi na ungo uwanjani.
Matukio ya kuvunja Nazi, mayai, Kupandisha mashetani nk vimekuwa ni vitu Vya kawaida mno.
Kwakweli mashindano haya yabadilishwe jina na kuwa Ndondo uchawi cup
Kuelewa watanzania tulivyo basi fuatilia ndo ndo cup
hakuna quality ya viwanja
kiwango cha mpira duni
lakini shindani linazidi kuwa marufu