Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Vipi Refa Kipunje Wa Mwananyamala hayupo?Ye huwa anaingia na kishoka au sime uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona wao Fyatuu nao wanakuona ww Fyatu unavyowaangalia..Ukitaka kuona watu fyatu, nenda ndondo cup, kuna vitu wanafanya hadi unashindwa kuelewa kama kichwani mwao kuna hata chembe ya ubongo? yani medula oblongata zimekata network kabisa.