NDONDO CUP: Mwamuzi atekwa huku mechi ikiendelea

Vipi Refa Kipunje Wa Mwananyamala hayupo?Ye huwa anaingia na kishoka au sime uwanjani
 
Ukitaka kuona watu fyatu, nenda ndondo cup, kuna vitu wanafanya hadi unashindwa kuelewa kama kichwani mwao kuna hata chembe ya ubongo? yani medula oblongata zimekata network kabisa.
Unaona wao Fyatuu nao wanakuona ww Fyatu unavyowaangalia..
 
Ndondo ilikuwa zamani enzi za Lucky Rangers.
Kawe rangers, ukwamani, kumbukumbu ya kinondoni shamba , kagera rangers, national ya tandale, faru dume ya manzese, sifa politan ya temeke. Ilikuwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…