Ndondo ni bora kuliko TP Mazembe? Tunasafari ndefu sana kwa wachezaji wetu wa Kibongo

Mo anawakopesha nyie mnachekelea, siku moja mtamuelewa Mzee Kilomoni na Bi Hindu
Sio kutukopesha tu hata akitaka tumuachie timu tunamwachia inakuwa yake kabisa..kwani tukimuachia timu nyi ombaomba fc yanawahusu nini??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sasa mbona karudi tena Yanga contract ya miaka miwili
Kama timu yake hailipi wachezaji mishahara unategemea jamaa ataishije...wacha apige ndondo apate hela ya kula
 
Mwanzoni walisema alichukua hela ya simba ndo maana akashindwana na tp mazembe,kama atarenew mkataba na Yanga basi itakuwa ni uongo kuhusu Simba,sasa sijui akili gani kukataa mazembe
Anhaa kumbe ni tetesi...tetesi zinaweza kuwa kweli or zisiwe kweli
 
Mwanzoni walisema alichukua hela ya simba ndo maana akashindwana na tp mazembe,kama atarenew mkataba na Yanga basi itakuwa ni uongo kuhusu Simba,sasa sijui akili gani kukataa mazembe
Kukataa mazembe nafikiri tuheshimu mawazo yake...tatizo la sisi wa africa ni mafundi sana wa kuwachagulia watu wengine maisha...huwezi jua hao mazembe wameshindwana nae walitaka kumlipa shilingi ngapi...ila kwa swala la kucheza ndondo aisee hii ni aibu....kweli mchezaji wa timu kubwa kama yanga unaenda kucheza ndondo mitaani
 
Ndondo siyo mbaya ananyoosha tu miguu,ni kama tu we ukiwa nyumbani mwanao akicheza unaweza kupiga naye danadana wala hamna aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…