Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Hahaaah mbona povu mkuu...tuambie kamaliza mkataba na yanga lini??Kama hujui kaa kimya siyo uropoka ropoka tu kama umevuta ugoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaah mbona povu mkuu...tuambie kamaliza mkataba na yanga lini??Kama hujui kaa kimya siyo uropoka ropoka tu kama umevuta ugoro
Sio kutukopesha tu hata akitaka tumuachie timu tunamwachia inakuwa yake kabisa..kwani tukimuachia timu nyi ombaomba fc yanawahusu nini??? 😂 😂 😂Mo anawakopesha nyie mnachekelea, siku moja mtamuelewa Mzee Kilomoni na Bi Hindu
Kama timu yake hailipi wachezaji mishahara unategemea jamaa ataishije...wacha apige ndondo apate hela ya kula
Wapi umezipata habari....weka source ya kuaminika inayoonesha ka sign tena mkataba wa miaka miwiliSasa mbona karudi tena Yanga contract ya miaka miwili
Wapi umezipata habari....weka source ya kuaminika inayoonesha ka sign tena mkataba wa miaka miwili
Anhaa kumbe ni tetesi...tetesi zinaweza kuwa kweli or zisiwe kweliSiyo source ya kuaminika ila lisemwalo lipoView attachment 1123254
Anhaa kumbe ni tetesi...tetesi zinaweza kuwa kweli or zisiwe kweli
Kukataa mazembe nafikiri tuheshimu mawazo yake...tatizo la sisi wa africa ni mafundi sana wa kuwachagulia watu wengine maisha...huwezi jua hao mazembe wameshindwana nae walitaka kumlipa shilingi ngapi...ila kwa swala la kucheza ndondo aisee hii ni aibu....kweli mchezaji wa timu kubwa kama yanga unaenda kucheza ndondo mitaaniMwanzoni walisema alichukua hela ya simba ndo maana akashindwana na tp mazembe,kama atarenew mkataba na Yanga basi itakuwa ni uongo kuhusu Simba,sasa sijui akili gani kukataa mazembe
Kukataa mazembe nafikiri tuheshimu mawazo yake...tatizo la sisi wa africa ni mafundi sana wa kuwachagulia watu wengine maisha...huwezi jua hao mazembe wameshindwana nae walitaka kumlipa shilingi ngapi...ila kwa swala la kucheza ndondo aisee hii ni aibu....kweli mchezaji wa timu kubwa kama yanga unaenda kucheza ndondo mitaani