Ndondokela ya African league (AFL) ni tofauti kabisa na michuano ya Klabu bingwa Dunia (FIFA)

Ndondokela ya African league (AFL) ni tofauti kabisa na michuano ya Klabu bingwa Dunia (FIFA)

Yaani wanatamani watume picha ya bango FIFA. Mwakalobo ndio imeifikisha hapo Simba wao walikuwa wanacheka na kukejeli . Wao size Yao akina Marumo.
Wenyewe kucheza ngazi ya makundi hadi wamepinda vibyongo kwa mbwembwe, kumbe hawajulikani FIFA.
 
Wenyewe kucheza ngazi ya makundi hadi wamepinda vibyongo kwa mbwembwe, kumbe hawajulikani FIFA.
Kuna mdau mmoja kasema ili kuwa Mkubwa lazima ucheze na Wakubwa wakufunge, utoke nao droo na hata siku moja uwatime. Simba wakipangiwa na Giant mnawacheka kuwa ndio mwisho wao. Haya nyie endeleeni kupangiwa na kina Madeama.
 
Ukiacha makasiriko na roho mbaya yako ya wivu utakuwa mchambuzi mzuri Tu Simba hawakufika hpo Kwa ghiliba na kujitangaza kwenye media kuna kazi kubwa ilifanyika na hata huko world cup club wataenda wakitimiza vigezo ww nyuma mwiko na akili zako kama kisoda msipo badilika mtabaki kulalamika humu mnaonewa na Simba inapendelewa tumia akili japo kdgo utaona tofauti
 
POLE SANA NAONA UMEZUNGUMZA KWA UCHUNGU KWELI KWELI [emoji16]

LAKINI NIKUAMBIE TU HIZO NDOTO MNAZOZIOTA AMKENI MTAKUNYA KITANDANI BURE.
 
Ihefu je?
[emoji16]
IMG-20231105-WA0073.jpg
 
Points mzee,we lalamika tu ila muda ukifika utatuona tunakipiga ma man u wabovu tunawaweka
 
Baada ya mchezo wa shield community (ngao) Simba sc walichukua taji.

Kwenye interview walisema "huu ni mwanzo mzuri tumefungua msimu vizuri na siku zote atakayechukua kombe hili huwa anachukua kombe la ligi"

Simba sc walipata Dondokela ya African league (AFL) yalikuja maneno mengi sana ikiwepo moja ya ndoto zao ni kuchukua kombe la AFL pasipo kujali kuwa hiyo ilikuwa ni Dondokela tu kwa Simba SC.

Baada ya kutoka Kapa kwenye michuano ya AFL walirudi kwenye ligi Wakiwa na matumaini ya kuchukua kombe la Nbcpl.

Baada kudondosha point kwa mtani wao Yanga Sc, na point mbili muhimu kwa Namungo pamoja na KMC, matumaini ya kuchukua kombe lolote ndani Yamefutika kabisa.

Sasa ndoto zimehamia kushiriki klabu bingwa Dunia FIFA na hapo ni tia maji tia maji maana kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa Simba sc Ina Hali mbaya haijui mwisho wake utaisha vipi?!

Maoni Yangu: Upepo wa klabu bingwa Dunia FIFA upo ili KUBADILI Kelele na kuaipoza mashabiki wasipige kelele juu za timu Yao yenye mwenendo mbovu huo ndiyo ukweli usiopingika.
Umewekwa kundi moja na madeama hko vibonde wenzio.
 
Back
Top Bottom