Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge

Fuatilia zaidi LIVE - Dodoma: Mkutano wa Kwanza Bunge la 13 November 11, 2025

 
Bado wanawaza kupeana kodi za walala hoi? Hili bunge ndo bunge bovu zaidi baada ya lile la Jiwe
 
Nani Anapost ujinga huu wa serikali haramu na genge lao,si mkapost kwenye page za ccm na genge lao,shenzi
 
Back
Top Bottom