Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuNykatati hizo kila kitu kilikuwa OG
Kanda ya kati haswa Singida ndio tulitumia sana na vibuyu piaNykatati hizo kila kitu kilikuwa OG
Almost vitu vingi viliundwa ku lastNykatati hizo kila kitu kilikuwa OG
Watoto wa 2000😂😂😂Hapo ni kwa mganga?
Bola kushonwa unapigwa pio pio kabisa😂😂😂Ikikudondokea mguuni lazima ukashonwe 🤣🤣
Mnatuandama sanaWatoto wa 2000😂😂😂
Leta madebe ya mafuta ya taa na kupikia, majembe chapa ya jogoo, kreti za mbao,Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣View attachment 3143351
Fenesi😂😂Nn iyo?
😂😂😂😂 Tatizo mlipitwa na vingiMnatuandama sana
Ndogo hizi zilikuwa nzito, ukiweka na maji mabega lazima yashuke. Ina mlio wake wa kipekee unapoitua chini ukaachia mkonoNdoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣View attachment 3143351
Dah😂😂😂😂 Tatizo mlipitwa na vingi
😅 mm sio wa elfu mbili lakin hilo chuma sijatumiaFenesi😂😂