Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣

Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣

Na mwenzake karai, siku hizi ndo yanakaangiwa maandazi.....wahenga tulikua tunaogea.
Unalichukua karai enzi hizo unalijaza mchanga ukipata moto ndo unakaanga karanga.....halafu ile utoto zaidi unalipasha motoooo then unarushia maji yakiruka ruka nna mvuke ule basi raaaha na kelele za cha chaa unachekelea tu 🤣😂
 
Kwahiyo ukitoka kuliogea unalikaangia na karanga? 🤣🤣🤣🤣
 
Halafu ukiulizwa ushaoga ushajibu ndio...mara ukaguzi huo, mgongoni kukavu, nyuma ya viwiko kukavu na povu nyuma ya sikio halafu ukute wenzako wanaendelea kula 🤣🤣🤣🤣
Wanakula wali maharage hapo unanukiaaaa hadi mtaa wa saba...

Unarudi bafuni na machozi, chozi linakua ni kulilia wali huo
 
Mtoa uzi ashukuriwe amenifanya nisahau uzito wa siku ya leo...barikiwa mtoa uzi
 
Back
Top Bottom