mimi,niliota nimepata remote ya kuforward na kurewind maisha,nikawa naji-rewind nakua mtoto naonekana bright kweli,sasa nikataka nione future ikoje,nikaji-forward,nkajikuta nimeshazikwa na remote iko juu.sitasahau ndoto hiyo.
wajameni ndoto niliyoota miaka 15 iliyopita siwezi kuisahau tena,niliota napaa angani halafu natua chini kama helicopter halafu watu wengi sana wanakuja kuangalia tukio,halafu nikapaa tena na kuondoka kuacha watu midomo wazi wakishangaa,kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana ya hii ndoto
Lazima ulikuwa kwa bibi sumbawangawajameni ndoto niliyoota miaka 15 iliyopita siwezi kuisahau tena,niliota napaa angani halafu natua chini kama helicopter halafu watu wengi sana wanakuja kuangalia tukio,halafu nikapaa tena na kuondoka kuacha watu midomo wazi wakishangaa,kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana ya hii ndoto