Ndoto Gani Iliyokutatiza (Sio Lazima Iwe Inatisha) Uliwahi Kuipata?

Ndoto Gani Iliyokutatiza (Sio Lazima Iwe Inatisha) Uliwahi Kuipata?

Mh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala
Hii ni kweli
Inatakiwa uombe sana na kukemea hii ndoto
If christian ita damu Yesu unyunyize hilo eneo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata kama jeneza usihofu wala nini sali sana jamaa hawataki ufe kirahisi wanataka washuhudie uchumi wako ukiyumba.....

Alikuwa sio jini aiseh alikuwa ni mchawi tu maana kipindi nilipoanza kusali nilikuwa namuona mpaka shingoni ni mtu mzima kdogo...
Inategemea mkuu nimewekwa kwenye jeneza kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhusu hyo yako hilo ni jini la kike na kuna uwezekano litarudi tena

Zidisha maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliota mtu ananikaba sana mpaka nashindwa kupumua

Nikasema katika jina la Yesu akaacha kunikaba , week mbili baadae niliumwa mno

Ever since God has been so good to me namshukuru kwa upendo wake .

Dreams are real inabidi tuombe mara unapoota ndoto isiyoeleweka .

Amen.
 
Back
Top Bottom