Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Hii ni kweliMh mi jana nmeota kuna m2 kaja kaingia ndan kajfunika shuka ckumbuk lang gan kasmama pembeni ya ktanda akaanza kunpulza upepo mkali sanau unapuliza kama feni hv nmepga kelele kwa muda mlefu nilpokuja kush2ka du pumz ipo juu had naogopa hata kulala
Inategemea mkuu nimewekwa kwenye jeneza kabisa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu hyo yako hilo ni jini la kike na kuna uwezekano litarudi tena
Zidisha maombi
Amen.Niliota mtu ananikaba sana mpaka nashindwa kupumua
Nikasema katika jina la Yesu akaacha kunikaba , week mbili baadae niliumwa mno
Ever since God has been so good to me namshukuru kwa upendo wake .
Dreams are real inabidi tuombe mara unapoota ndoto isiyoeleweka .
Sent using Jamii Forums mobile app