Ndoto hii ina maana gani!?

Ndoto hii ina maana gani!?

Ugiligili

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
3,023
Reaction score
4,055
Habarini za saa hizi wakuu..
Bila kupoteza muda usiku wa kuamkia leo nimeota natapika mapande ya nyama iliyopikwa na kuna mtu pembeni yangu(simkumbuki) ndiye aliyekuwa ananambia nifanye hivyo na kwa wakati huo tumbo lilikuwa kama limevimba(kujaa) hivi..nimeshindwa kuelewa..

Pia kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikimuota mtu wangu mmoja wa karibu ambaye alishafariki tangu 2011 lkn toka kipindi hicho haipiti miezi miwili au mitatu sijamuota..
Naombeni mnisaidie wakuu kwa anayefahamu juu ya hili..shukrani.
 
Wewe una mimba siyo? Kama una mimba bas hiyo mimba yako baada ya miez mitatu itatoka na huyo aliyekuwa pemben yako ndo mtoa mimba aliyekuwa anakutoa mimba
 
Back
Top Bottom