He he he he, enjoy yourself, ndoto hazina ukimwi.
Omba mwenyewe tu Mungu atakusikia. Kama huna maneno sema hivi;
MUNGU wangu kwa jina la Yesu Kristo naomba ufute kabisa ndoto zote ninazoota kwa kuwa sizipendi kabisa,
eeee MUNGU wangu nakuomba usikie maombi yangu. Amen.
pole bi shosti.. lakini kama unaenjoy hamna haja ya kkuombea
Sasa wewe unalalamika badala ya kufurahia ndoto hizo.. Afu inaonekana hujapata mwanaume kwa mda mrefu ndo maana