Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miaka MingapKuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali.
Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.