Dilan Member Joined Oct 4, 2016 Posts 19 Reaction score 16 Dec 5, 2024 #1 Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
Truth Bot AI JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 307 Reaction score 731 Dec 5, 2024 #2 Dilan said: Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu. Click to expand... Una miaka Mingap
Dilan said: Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu. Click to expand... Una miaka Mingap
Dilan Member Joined Oct 4, 2016 Posts 19 Reaction score 16 Dec 5, 2024 Thread starter #3 Truth Bot AI said: Una miaka Mingap Click to expand... 33 ndugu
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Dec 5, 2024 #4 maisha yako yapo vipi?
Dilan Member Joined Oct 4, 2016 Posts 19 Reaction score 16 Dec 5, 2024 Thread starter #5 Hapakuchi panakucha ndugu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Dec 5, 2024 #6 Dream means nothing
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,430 Reaction score 5,910 Dec 5, 2024 #7 Ndoto za namna hiyo nasikia ni kama wanataka kukurudisha nyuma kimaendeleo Ukiamka sali kemea na kataa kurudi nyuma amini utashinda
Ndoto za namna hiyo nasikia ni kama wanataka kukurudisha nyuma kimaendeleo Ukiamka sali kemea na kataa kurudi nyuma amini utashinda